Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
Wengine wanajifanya wastaarabu wanataka ukimya na utulivu kumbe wana sonona na huzuni kuu



Africa ndilo bara linaloongoza kwa watu kujiua, katika nchi kumi duniani zinazoongoza watu kujiua sita zinatoka Africa.Na ndo wanaongoza kwa depressions na kujiua
Kwani watu wenye sonana na huzuni kuu wanahitaji kelele na vurugu??Wengine wanajifanya wastaarabu wanataka ukimya na utulivu kumbe wana sonona na huzuni kuu
![]()
Kabisa, nenda sehemu za uswahilini uone hali ilivyoNi kama umasikini na uchafu, fujofujo na kutostaarabika vinaendana
Mkuu jiji kama Dar haliwezi kufanana na kijiji ulichozaliwa.Kama unaishi na familia au hata kama ni makazi, vurugu kama hizi siyo nzuri. Labda kwa mtu aliyezaliwa kwenye mazingira kama hayo lakini kwa mtu niliyekulia vijijini kama mimi, kwenye miti, hewa nzuri, unapanda na kufuga unachotaka, sehemu kama hizo hapana. Labda kama una kilinge cha kutafuta riziki ya kila siku na jioni unakwenda zako pembeni ya mji kupumzika.
Wenye sonona hawataki hata kusikia upepo unavumaKwani watu wenye sonana na huzuni kuu wanahitaji kelele na vurugu??
Sehemu kubwa ya barabara katika majiji ya Africa hayana njia za watembea kwa miguu au waendesha baiskeli. Ethiopia sasa hivi ndio wanajaribu kuijenga Addis Ababa iwe liveable city ya aina hiyo kama nchi zilizoendelea na kustaarabika.Hizi bajaji na boda ni kama zimetulemaza hivi, naona hapa wenzetu wanatembea tu, sisi nusu kilometer unataka kupanda bajaji, lipo la kujifunza kupitia wenzetu.
Japan utulivu ni utamaduni wao mkuu,Ukifika Japan utaelewa maana ya utulivu ni kitu gani, Kwa sehemu kubwa unapita mitaa Hadi unaogopa, ni ziiiiiiiiii, hata nzi humsikii, unasikia kelele za ndege Tu, halafu mitaa iko misafiii, Kila kitu kimepangiliwa. Japan vitoto vidogo kabisa vinakwenda shule peke Yao, watu wanafuata Sheria Hadi kwenye barabara nyeupe isiyo na magari....Kila mmoja anaishi dunia Yake, kinyume chake fika India sasa hasa Kwa wale wenzangu na Mimi, TZ si mnasema kuna msongamano, India ni komesha ni kelele zaidi ya Bar, mambo yako hovyo hovyo zaidi ya bongo hakuna miongozo wala cha Sheria sijui za mazingira na kazi, its hell...but ni watu wa kazi, Sijawahi kuona watu wanaopiga kazi kama wale Jamaa hasa hizi manual, hakuna huruma, ndio maana mhindi akija bongo anaona ni peponi na lazima ataku outsmart because they came from very competitive environments...
Ni wale wanao force uzunguAfrica ndilo bara linaloongoza kwa watu kujiua, katika nchi kumi duniani zinazoongoza watu kujiua sita zinatoka Africa.
Mkuu megine jiongeze tu..Nilikua masomoni Scotland wazungu ni wastaarabu sana, imagine kwenye mataa ikiwa nyekundu anasimama kusubiria japokua pande zote hakuna magari!
Cha ajabu sisi weusi tukiona hakuna magari tunapita!
Hiyo ni issue ya miundo mbinu mkuu kukuta foleni,Mkuu megine jiongeze tu..
Unaishi mji una watu laki 6 hauna harakati nyingi za kiuchumi utafananaje na mji wa watu milioni 3 au zaidi!!
Umeacha wateja dukani kariakoo umekimbilia godown chang'ombe kuwachukulia mzigo wao ili wakulipe, njiani unakutana na foleni.
Lazima ukimbizane tu.
Yes mji niliosoma unaitwa Aberdeen, una watu chini ya laki tatu! Halafu miundo mbinu ipo vizuriMkuu megine jiongeze tu..
Unaishi mji una watu laki 6 hauna harakati nyingi za kiuchumi utafananaje na mji wa watu milioni 3 au zaidi!!
Umeacha wateja dukani kariakoo umekimbilia godown chang'ombe kuwachukulia mzigo wao ili wakulipe, njiani unakutana na foleni.
Lazima ukimbizane tu.
1. Labda ungesema Africa ndugu wanakuwa karibu zaidi ila social life ni neno pana sana na jamii zote duniani watu wana social life ya aina zao. Nchi zilizoendelea kuna social life pia, ziko social fraternities nyingi sana, veterans societies, umoja makanisani, misikitini, mahekaluni, atheists associations /clubs, n.k Tofauti ya West na sisi ni kwamba kwao ukaribu wa watu hautegemei damu zaidi bali values zinazofanana. Pia kila kitu ni rahisi kila mahali kama una kipato.1. Social life ya Africa ni nzuri. Watu wako karibu, kila kitu ni rahisi (kama una kipato)
2. Africa kama uko vizuri ki-uchumi unakuwa kama mfalme
3. Watu wako relaxed, hakuna uharaka kwenye kufanya kazi, sex nje nje,
3. Tuna maisha ya asili na vyakula vya asili, hatubanwi tunapofanya makosa madogo madogo na hata ukifanya scandal kubwa kama una fedha ni rahisi kuinyamazisha.
Mimi nikiendaga kijijini Huwa nakosa kabisa vibe...kajumba kamoja hapa kengine kule pia mapori na vichaka...Inafurahisha kuishi miji yenye kelele na pilikapilika za uswahilini.Ndiyo maana hadi waungwana wameamua kuanzisha kabisa vipindi vya redio na televisheni ili kujumuika uswahili wetu.Miji isiyo na kelele na hekaheka ni kama miji iliyokufa tu ingawa wao huita ustaarabu.
Waulize watu wanaoenda China kwenye miji ya watu milioni 20 kama Guangzhou kama huwa wanakutana na ujinga uliopo Tanzania wa boda, Bajaji na gari zisizo na mpangilio na kelele kila mahali za vispika uchawara vya biashara kila kona.Mkuu megine jiongeze tu..
Unaishi mji una watu laki 6 hauna harakati nyingi za kiuchumi utafananaje na mji wa watu milioni 3 au zaidi!!
Umeacha wateja dukani kariakoo umekimbilia godown chang'ombe kuwachukulia mzigo wao ili wakulipe, njiani unakutana na foleni.
Lazima ukimbizane tu.