min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Asante meku😅1. Social life ya Africa ni nzuri. Watu wako karibu, kila kitu ni rahisi (kama una kipato)
2. Africa kama uko vizuri ki-uchumi unakuwa kama mfalme
3. Watu wako relaxed, hakuna uharaka kwenye kufanya kazi, sex nje nje,
3. Tuna maisha ya asili na vyakula vya asili, hatubanwi tunapofanya makosa madogo madogo na hata ukifanya scandal kubwa kama una fedha ni rahisi kuinyamazisha.