hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😂😂 Kwenda kutazama baikokoTaja raha za afrika
😂😂 Kwenda kutazama baikokoTaja raha za afrika
Kwa Hili I -second youKama hujafika huwezi kuelewa. Ila Afrika tunaishi kama mbuzi.
Vipi mrembo 😊😂😂😂Wew jamaa
Kweli bwasheeTatizo dress code Mkuu
Picha kama hizi kwa wabongo kwao ni kero maana watasema hakuna vibe,wao wa nacho taka ni vibanda vya chips,mihogo,bidhaa chini,vituo vya bodaboda na bajaji bila kusahau vibanda vya huduma za pesa.
Poa mamboVipi mrembo 😊
Poa sana , nafurahi kukuona binti yangu wa meditation 😊Poa mambo
Ukiona unakimbia kimbia hovyo huko Ulaya ujue hujui ku keep time. Bus,train zinaenda kwa muda,ratoba ya mwaka mzima au zaidi sasa kwanini uchelewe. Ila ni uzembe tu maanake hapa hapa Tz abiria wa SGR wanafuata muda maana kule hamna kuchekeana ukichelewa 5mins before departure mlango unafungwa unaachwa.Kabla hujafika ulaya au amerika inabidi ujifunze kutembea na kukimbia huko afrika, maana kuna kuwahi bus kwenda job au kuwahi bus kurudi home, ukichelewa hata dk moja linakuacha...so we ni mwendo wa mbio na kutembea kimwendo kufata hizo bus au subway
Nipo snaPoa sana , nafurahi kukuona binti yangu wa meditation 😊