binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
I am offended 😂😂😭😭💔Kama hujafika huwezi kuelewa. Ila Afrika tunaisha kama mbuzi.
I am offended 😂😂😭😭💔Kama hujafika huwezi kuelewa. Ila Afrika tunaisha kama mbuzi.
Ndiyo maana magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanatushambulia mno.Hizi bajaji na boda ni kama zimetulemaza hivi, naona hapa wenzetu wanatembea tu, sisi nusu kilometer unataka kupanda bajaji, lipo la kujifunza kupitia wenzetu.
Nisamehe tu. Bitter truthI am offended 😂😂😭😭💔
Labda huelewei maana ya uchumi jumuishi. Umachinga barabarani, kazi za Bajaji na bodaboda haziwezi kuleta uchumi jumuishi hata ukiziruhusu hadi ndani ya Ikulu. Uchumi jumuishi unaletwa kwa kazi, ajira au biashara za staha "decent jobs".Kwa nchi masikini kama yetu nasimama na maono ya Magufuli, ruhusu Machinga kila sehemu, Ruhusu Bodaboda na Bajaji ziingie mpaka mijini. Kuwe na uchumi jumuishi.
Ila tu tutafute namna ya kudhibiti uhalifu kwa kuwasajili na kuwapa vitambulisho na kuwaweka kwenye makundi makundi ili kuwadhibiti kirahisi.
1.Chakula cha asili ni kingi sanaTaja raha za afrika
😄Ukishindwa kuishi miji iliyostaraabika kama hiyo basi ujue ule uswahili wa Mbagala, Buguruni, Tandika umekujaa mno kichwani
Binafsi napenda mno utulivu wa aina hiyo badala ya vurugu zetu za hapa Bongoland
Watakataza vipi wakati ndio inaficha kwa asilimia kadhaa tatizo la UKOSEFU WA AJIRA?It a huge different jamani very very huge. Yaani kuna peaceful feelings fulani unaipata. Lakini pia unajiuliza how come nyumbani wame allow this?
Is not sipend watu wasiendeshe lakini ni kama iko so unegulated, anybody anaweza nunua anytime akasajili akawa tumia hapo hapo.
Hata hapa bongo hizo pedestrian walkway zipo hasa kwenye main roads mkuu.Sehemu kubwa ya barabara katika majiji ya Africa hayana njia za watembea kwa miguu au waendesha baiskeli. Ethiopia sasa hivi ndio wanajaribu kuijenga Addis Ababa iwe liveable city ya aina hiyo kama nchi zilizoendelea na kustaarabika.
Pia Kigali imejengwa vizuri ikiwa na barabara za watembea kwa miguu pembeni ya barabara kuu.
😅😅😄
Ova
Just imagine bila ajira za Machinga, Bajaji na Bodaboda kwa mamilioni ya vijana kwa wazee hapa Tanzania. Hao wote wangeajiriwa/kujiajiri kwenye kazi zipi 'decent '?. Nafikiri magenge ya uhalifu yangetapakaa kila kona.Labda huelewei maana ya uchumi jumuishi. Umachinga barabarani, kazi za Bajaji na bodaboda haziwezi kuleta uchumi jumuishi hata ukiziruhusu hadi ndani ya Ikulu. Uchumi jumuishi unaletwa kwa kazi, ajira au biashara za staha "decent jobs".
Karibu dengaa mkuu 😄Ukishindwa kuishi miji iliyostaraabika kama hiyo basi ujue ule uswahili wa Mbagala, Buguruni, Tandika umekujaa mno kichwani
Binafsi napenda mno utulivu wa aina hiyo badala ya vurugu zetu za hapa Bongoland
Naona harakati bahariaKaribu dengaa mkuu 😄
Ova
Wapewe elimu ya kutoshaJust imagine bila ajira za Machinga, Bajaji na Bodaboda kwa mamilioni ya vijana kwa wazee hapa Tanzania. Hao wote wangeajiriwa/kujiajiri kwenye kazi zipi 'decent '?. Nafikiri magenge ya uhalifu yangetapakaa kila kona.
Binafsi naunga mkono hizo ajira. Zirasimishwe na kuondolewa vikwazo ila tu serikali wadhibiti uhalifu.
Dah experience hii naitamani sana. Kuna muda mtu unatamani uende ukakae nje ya jiji utafute amani, ila majukumu ndio yanabana. Hapa Dar sahivi kutembea ni kero kuliko mkoa wowote Tanzania.It a huge different jamani very very huge. Yaani kuna peaceful feelings fulani unaipata. Lakini pia unajiuliza how come nyumbani wame allow this?
Is not sipend watu wasiendeshe lakini ni kama iko so unegulated, anybody anaweza nunua anytime akasajili akawa tumia hapo hapo.
Tatizo dress code MkuuJuzi arabuni nilitengwa kwenye bufe la eid ila nilikomaa
View attachment 3597446
Wabongo mnachekesha sana. Chaos mnaita vibe. Vurugu za bodaboda,bajaj,madaladala unaita vibe? Mtembea kwa miguu kazi yako ni kukwepa bodaboda na magari yamayopita njia za watembea kwa miguu hio ndio vibe?Jiji kama Dar lazima liwe na shangwe shangwe na hekaheka nyingine.
Kelele ndiyo burudani ya mjini.
Mengine siyo lazima tufanane na miji ya Ulaya.
Mengine tunafurahia kufanana na miji kama ile ya India.
Sasa utakuta mji kama Berlin una wakazi milion 3.8 au Paris na idadi ya wakazi chini ya milion 2.5, miji kama hiyo haiwezi kuwa na vibe kama Dar lenye watu zaid ya milioni 7.