Mliowahi kutana na haya makitu. Uzoefu wenu please. Hasa kwa Vijana wa siku hizi wabishi na mabinti

Mliowahi kutana na haya makitu. Uzoefu wenu please. Hasa kwa Vijana wa siku hizi wabishi na mabinti

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa condom.

Yaani ukanunue pipi halafu uanze kumung'unya ikiwa kwenye karatasi? Aaaah wapi..... Hawakuelewi watu. Na wakati huo huo condoms nazo zilikuwa chache sana. Ukipata unaitumia hata mara 10.ukimaliza unaiosha vizuri unaihifadhi.

Ilikuwa si ajabu jamaa anakuja kugongea umwazime maana amebanwa sana. Unamwambia tu akimaliza aioshe kabisa ndo akuletee asilete ikiwa na grease.

Magonjwa Sumbufu yalikuwa ni PANGUSA, GONORHEA, KASWENDE, KICHOCHO haya ndo magonjwa ya kizamani kabla ya kuja UTI Sugu n.k

Yamewatesa wengi sana miaka hiyo... Na dawa maarufu ilikuwa rangi mbili. Siku hizi watu wanaogopa umeme tu... But miaka yetu magonjwa yalikuwa mengi sana huku down. Kuna ugonjwa hapo ulikuwa unatafuna mashine mpaka inafutika kabisa.... Sijajua ni upi kati ya hayo. Na ukiona picha ya sehemu za siri ambazo zimeliwa utashangaa kabisa. Zinatisha.

Vijana wa siku hizi waambiwe haya wasije tu kujisifu wamekula kimasikhara.... Nao watakapoanza kuliwa wanaanza kulia lia.
 
Mkuu kumbe wewe ni muhenga mwenzangu.Huo ugonjwa kama sikosei unaitwa pangusa, ulikuwa unakula mkuyenge unabaki kama kifutio.Kizazi cha leo kifahamu tu zamani tumepitia mengi.Kufua kondom is not a myth.
Na wengi hawataki hata kusikia hizi habari. Tunapowakumbusha wanakaza mafuvu yao. Sisi wahenga wanashindwa kutuheshimu.... Huu uzi wataupita kama wanaaga maiti.... Halafu kesho na keshokutwa wanakuja humu kuwa booh zao zinalika.... Wasaidiwe. Hatari sana.
 
Duuh kweli wazee wa kitambo mmepitia mengi mnfanya vyema kutukumbusha wadogo zenu/wanenu kuhusu enzi zenu na siai tucheze fair ila hyi ya kuosha condom duh noma sana[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom