Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

Kuoa au kuzaa sio success
Abstain Alcohol
Abstain sex

Maintain nutrition
Maintain exercise

We are strive for money with huge investment. As to get long run cash flow.

26 yrs
Mkuu sometimes ni vyema kunyamaza tu ili ulinde heshima yako maana unaweza jikuta unasema jambo ukajiona upo sahihi kumbe umebwatuka nonesense.

Ila una point.
 
Akili za kijinga tutafute utajiri tutafute hela , tutafute cash flow sio tofali 4800 , kuishi kwako sio mafanikio wape salamu chanika huko
Sidhani kama kuna sehemu nimeandika kuwaambia watu watafute utajiri.

Huu Uzi Kuna watu wanaweza wasiuelewe, lengo langu mm ni kuwakumbusha watu tuishi kulingana na umri tuliopo... Nimewaona marafiki wengi sana wamenasia kwenye lifestyle ya ujana ndo maana nimeleta Uzi huu


The rest kama nimekukwaza naomba unisamehe
 
Nilikuwa nimeagiza bia [emoji481][emoji481]zangu mbili za baridii....nkajisemea ngoja nicheki jf Kuna kipya gan leo,nkakutana na huu Uzi, nimeacha bia hata sijazifungua nimejikuta nimefika nyumbanii nakitazama cheti changu cha kuzaliwa macho juu ya dali
 
Akili za kijinga tutafute utajiri tutafute hela , tutafute cash flow sio tofali 4800 , kuishi kwako sio mafanikio wape salamu chanika huko.
[emoji851][emoji851][emoji851]Kwa bongo hii utengeneze mfereji wa kuingiza pesa utakao kuaimara Kwa muda mrefu(umeme sio wa uhakika,barabara foleni sana zingine mbovu,gharama za usafirishaji zipo juu Bado vijicho vya usuda na mazing'izong'i mengine)

Kama unatobo linalokuwezesha katika ujana huu fanya ujenge ata Kwa kujibana kama mtoa mada alivyo sisitiza,Bongo maisha yakutotegemea kujenga Bado hayapo

Ila usije wapa watoto mzigo wa kukutimizia ndoto zako,timiza zako ikiwezekana anzisha na misingi inayoelewaka inayoonekana sio kusema niwapa elimu weka na mali pia Kwa wanao,ukishindwa kutimiza ya wanao basi wakukute unajiweza usiwe mchovu Ili wao waanze na yao na siyo yako

Nakukumbusha nyumba muhimu, biashara isipo eleweka vizuri uwazi kumpa mtu laki6 au milion1 ya Kodi Bali msosi na ya watoto kwendea shule afu unakuta wengine wanalima wakivuna gunia kadhaa kaziweka ndani anapunguza gharama za chakula

Ila sio la Zima mifumo ifanane Kila mtu ananjia yake
 
Mkuu wacha mwaka upite kwanza.

Nakukumbusha skukuu ya PASAKA itakuwa ni tarehe moja ambayo ni siku ya WAJINGA.

Wacha nitafute mlungula kuna nguvu umeiamsha kwangu mkuu.

Shukran kwa bandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…