Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Bangi unaacha ndani ya siku tatu tu lakini mtihani mkubwa sana usiwakimbie wavutaji bangi.Punguza. Usiache ghafla bin vuu
Ukiweza hapo basi umefuzu mtihani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi unaacha ndani ya siku tatu tu lakini mtihani mkubwa sana usiwakimbie wavutaji bangi.Punguza. Usiache ghafla bin vuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi sifanyi na huna kitu utanifanya
[emoji41]
Fanya mazoezi mkuu kitambi sio poaMimi nina miaka 33 siku hizi nikishuka tu naona watu hata wale walionizidi umri huwa utasikia Braza habari? au Mshua karibu. Kimoyo moyo huwa najisemeaga hapa nishakuwa faza umri wa ujana nimemaliza tayari.
Nmecheka sanaNilikuwa nimeagiza bia [emoji481][emoji481]zangu mbili za baridii....nkajisemea ngoja nicheki jf Kuna kipya gan leo,nkakutana na huu Uzi, nimeacha bia hata sijazifungua nimejikuta nimefika nyumbanii nakitazama cheti changu cha kuzaliwa macho juu ya dali
Kuoa na kuzaa sio mafanikio kwa sababu binadamu anapigania kuservive kupitia uwezo wa kupata mahitaji ya lazima kama chakula, malazi na mavazi.Mkuu sometimes ni vyema kunyamaza tu ili ulinde heshima yako maana unaweza jikuta unasema jambo ukajiona upo sahihi kumbe umebwatuka nonesense.
Ila una point.
mi 28yrsMimi nina miaka 33 siku hizi nikishuka tu naona watu hata wale walionizidi umri huwa utasikia Braza habari? au Mshua karibu. Kimoyo moyo huwa najisemeaga hapa nishakuwa faza umri wa ujana nimemaliza tayari.
Mkuu ni wapi bwana buzitata amesema kuoa na kuzaa ndio mafanikio?Kuoa na kuzaa sio mafanikio kwa sababu binadamu anapigania kuservive kupitia uwezo wa kupata mahitaji ya lazima kama chakula, malazi na mavazi.
Kwa hiyo tusijenge nyumba? Tuishi na watoto zetu nyumba za kupanga?Kujenga nyumba Haina maana yeyote. Jaribu kuwekeza Kwa watoto au binafsi. Sababu ukijenga nyumba na bila kuwajengea future
Kuna mwana alikuwa ana cash sio chini ya milion 70 yaani hiyo ilikuepo tu na anaendelea kupiga kazi kama kawaida.Akili za kijinga tutafute utajiri tutafute hela , tutafute cash flow sio tofali 4800 , kuishi kwako sio mafanikio wape salamu chanika huko.