Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

Usikimbizane na muda, itakugharimu sana. Utapata msongo wa mawazo.

Usitafute mtoto kisa umri umekutupa mkono, tafuta kwakua unapenda na una uwezo wa kumhudumia.

Kipi bora kati ya kua na miaka hiyo 50+ huku mwanao akiwa na uhakikacwa maisha au kua na hiyo 50+ ukiwa na watoto 10 ambao hawajui hata kula yao.?

Ninyi ndo type ya wazazi mnaozaa watoto kama asset, unapiga hesabu zako za kibwege eti aje akutajirishe uzeeni. Dogo anahustle kwa tabu mno coz baba mwenyewe huna maisha, akitoboa vizinga haviishi.
 
Swala la kuwa na watoto sio muhim sana kwa kama unavoelezea hapo.
 
Nani amekuambia anatafuta mtoto kama asset... Mimi nilichomaanisha sio vizuri kuzaa uzeeni(first born)
 
Hapo kwenye wine umecheza sana alaf ni ka code wajinga hawawezi elewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…