Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

Kujenga nyumba Haina maana yeyote. Jaribu kuwekeza Kwa watoto au binafsi. Sababu ukijenga nyumba na bila kuwajengea future ni bure tu. Watoto watauza nyumba siku haupo na ambayo umejenga Kwa shida sana.
Sasa kwa watoto utawekeza nini ambacho kinamaana kuizi nyumba usijejidanganya kuwekeza kwenye elimu ya kibongobongo
 
Sasa hizi ndio mada zinazorudisha heshima ya JAMII FORUM

Hongera Mkuu kwa Ushauri
 
Ww nimtume na nanabii!!
 
Brother uko sahihi sana ,,,kunasia kwenye ujana nijanga linalotukabili kuhisi bado uko namda wakuzugazuga
 
Mimi nina miaka 33 siku hizi nikishuka tu naona watu hata wale walionizidi umri huwa utasikia Braza habari? au Mshua karibu. Kimoyo moyo huwa najisemeaga hapa nishakuwa faza umri wa ujana nimemaliza tayari.
Jct like me!!
 
Nazan hayo yaliyozungumzwa siyo mafanikio ni angalau ukifel usivuke apo
 
Sio lazima Kila ndoto itimie mkuu waweza kufurahia maisha Kwa kile mungu alichokupatia
Start small aim high never aim average,vinginevyo utaishia kuwa maskin kama walokole wengi wanavyosubir kwenda mbingun wakat yesu alisema usiwatoe ulimwenguni kwakuwa apa duniani wanamzigo wa kupiga Sasa watapigaje na hawana pesa na je nani atakaye wasikiliza wakati bible imesema hekima ya maskin haisikilizwi na je Nani anataka wokovu WA kimaskini?
 
Kuoa au kuzaa sio success
Abstain Alcohol
Abstain sex

Maintain nutrition
Maintain exercise

We are strive for money with huge investment. As to get long run cash flow.

26 yrs now
Alcohol nimeweza ku abstein
Sex bado sijafanikiwa ila mwaka 2024 niko na malengo pia.
 
Sio lazima Kila ndoto itimie mkuu waweza kufurahia maisha Kwa kile mungu alichokupatia
Na hii ideology ndo imefanya ili taifa kuendelea kuwa dhaifu unakuta mswahili kakaa kwenye nyumba haielewek vyoo vya ajabuajabu wazee tukiwa vijana tusifikirie kuwa average kabisa haitakiwi atlisti tuwe na ayo mawazo tukishafika 60
 
Mpk leo hamna Nyumba tu, mnafanya nini Dunia?
 
Na hii ideology ndo imefanya ili taifa kuendelea kuwa dhaifu unakuta mswahili kakaa kwenye nyumba haielewek vyoo vya ajabuajabu wazee tukiwa vijana tusifikirie kuwa average kabisa haitakiwi atlisti tuwe na ayo mawazo tukishafika 60
Ndoto ya kuishi vizuri isikufanye uhisi maisha uliyonayo ni mabaya au kile ulichonacho hakistahili....Kwa bahati mbaya Mimi na wewe tunapishana kwenye mtazamo wa maisha

Mimi huwa ninaamini kile ninachostahili lazima nitakipata tu hivyo Sina wasiwasi kama nikikosa kile nilichotarajia(japo Hilo halinifanyi nishindwe kupambana Ili NAMI niishi Kwa nyakati na umri nilio nao)

IPO siku nitaleta Uzi wa maisha ni nini, nadhani wengi watafaidika kupitia huo uzi
 
Mzee ukija na maama ya maisha itategemea mtu amekuzwa na ideology gan,ndo maana ni ngumu kuwaza kwamba itamfaa kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…