Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Biblia inasemaje mzee?Beirut ndio Sodoma ya kale. Hakuna jipya hapo; ni marudio ya yanenavyo maandiko; mji ule umekuwa machukizo mbele za Bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia inasemaje mzee?Beirut ndio Sodoma ya kale. Hakuna jipya hapo; ni marudio ya yanenavyo maandiko; mji ule umekuwa machukizo mbele za Bwana.
hizi ndo taarifa za kisomiIsrael was ruled out. Tangu mwanzo Israel huwa haina bifu na Lebanon bali ina bifu na Hezbollah. Hezb yenyewe iliomba kuwepo umoja katika tukio hili, hawajajiapiza kama wanavyofanyaga mara zote. Maana yake mpaka wao wanaamini ni ajari, ingawa najua wanachunguza kivyao.
Mkuu wa Usalama na Waziri Mkuu wamesema kulikuwa na ammonium nitrate tani 2750 zimehifadhiwa kwenye ghala kwa kipindi cha miaka 4-6. Hizi hutumika kutengeneza mabomu na mbolea, nyingi serikali ilikuwa inazikamata kama magendo. Kuna uzembe wa mamlaka za bandari. Mafataki pia yalikuwepo, moto ulianza kwa namna nyingine ndipo ammonium nitrate ikalipuka. Chanzo cha huo moto wa mwanzo ambao ulikuwa unatoa flash nyeupe za mwanzoni ndo bado kujulikana. Kuna mchanganyiko wa explosive substances maana ni kama warehouse ya milipuko ya aina yote. Ndo maana kuna moshi mweupe, yellow, na rangi gani sijui.
Naamini nchi nyingi zitatoa msaada maana Lebanon ni ndogo. Israel yenyewe imesema ina mazungumzo kupitia third party kutoa msaada. Qatar inatuma vitanda vya dharula kwa majeruhi, Saudi Arabia inakuja, Turkey, Iraq na wengine.
Trump kama kawaida yake anatoa taarifa bila uhakika, alidai inaonekana ni shambulizi. Kauli yake itapuuzwa.
Hapa tu ndio mnaponiacha hoi... Hadi ninyi wenyewe mnajidharau mbele ya binadamu wenzenu!Sasa hapo ndio muone maajabu ya Mungu wa kweli wa ISRAEL wala israel haijahusika kulipua na hizo material zilizolipuka walikuwa wanaandaa silaha za maangamizI dhidi yaya watu wa Mungu wa kweli wayahudi. Ukitaka mambo yako yasikunyookee kuwa adui wa Israel. Sasa hivi mataifa mengi ya kiislamu yamegundua hili Omani, saudia, UAE, Maroc n.k kwa kichinichini na kujifichajificha kama nikodemu wanampigiaga simu netanyahu. Majuzi tu hapa Somaliland wanataka diplomasia na israel hadi wenzao Mogadishu wakaja juu.
hearly
Tena ulevi mbaya sana! Bado kuolewa na hao waisrael tuSawa sawa.Kweli dini ni ulevi.
Sijui, ila nahisi source ya ule mlipuko wa awali ni muhimu zaidi kujulikanaIsrael was ruled out. Tangu mwanzo Israel huwa haina bifu na Lebanon bali ina bifu na Hezbollah. Hezb yenyewe iliomba kuwepo umoja katika tukio hili, hawajajiapiza kama wanavyofanyaga mara zote. Maana yake mpaka wao wanaamini ni ajari, ingawa najua wanachunguza kivyao.
Mkuu wa Usalama na Waziri Mkuu wamesema kulikuwa na ammonium nitrate tani 2750 zimehifadhiwa kwenye ghala kwa kipindi cha miaka 4-6. Hizi hutumika kutengeneza mabomu na mbolea, nyingi serikali ilikuwa inazikamata kama magendo. Kuna uzembe wa mamlaka za bandari. Mafataki pia yalikuwepo, moto ulianza kwa namna nyingine ndipo ammonium nitrate ikalipuka. Chanzo cha huo moto wa mwanzo ambao ulikuwa unatoa flash nyeupe za mwanzoni ndo bado kujulikana. Kuna mchanganyiko wa explosive substances maana ni kama warehouse ya milipuko ya aina yote. Ndo maana kuna moshi mweupe, yellow, na rangi gani sijui.
Naamini nchi nyingi zitatoa msaada maana Lebanon ni ndogo. Israel yenyewe imesema ina mazungumzo kupitia third party kutoa msaada. Qatar inatuma vitanda vya dharula kwa majeruhi, Saudi Arabia inakuja, Turkey, Iraq na wengine.
Trump kama kawaida yake anatoa taarifa bila uhakika, alidai inaonekana ni shambulizi. Kauli yake itapuuzwa.
Hezbollah Kwisha kaziNdio ..picha ndio hizo
Hakuna anaependa vita wewe unapenda kusikia habari za vita kwa wengine.
Omba mengine tu yakukute ila usiombe ukutakane na adui yako ana kwa ana.
Iran lazima akomalie hiyo show maana hizbolah ni derivative yao, na mfaransa ni muuza bidhaa za nyuklia wa siri mashariki ya kati.
Mossad hao na hamtakaa muwajue 😎kama ISRAEL imehusika isijali itakipata inachokistahili punde ama baadae kidogo lakini lazma waipate
Swadakta.Huyo utakuta anaangaliaga movie za kivita kwa shemeji yake wala hata hajawahi mwagikiwa na damu ya mtu mikononi mwake
Keyboard warrior
Kwa akili hizi haufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
Swadakta.Huyo utakuta anaangaliaga movie za kivita kwa shemeji yake wala hata hajawahi mwagikiwa na damu ya mtu mikononi mwake
Keyboard warrior
Ulizosoma wewe na mimi nataka nizisome.
Nilizosoma mimi hamna hicho kitu unachokisema.