oneflash
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 814
- 600
Hapa kuna utafauti sana na chenye Maghufuli alichokifanya. Yeye alipeleka sampuli maabarani ambazo hazikuwa kachafuliwa (conterminated) na akadai matokeo yake kaonyesha kuna virusi. Hapa tunaongelea vifaa ambavyo vishaa chafuliwa.Pilipili itabaki kwenye kinu,sawa.Ila ngoja nikuulize swali,kwa nini mlimkosoa Magu alipofanya hivi?