Mlipuko mpya wa virusi vya Corona waibuka jijini Beijing, China kutoka kwa samaki kwenye soko la vyakula la Xianfadi

Mlipuko mpya wa virusi vya Corona waibuka jijini Beijing, China kutoka kwa samaki kwenye soko la vyakula la Xianfadi

We jamaa iyo mnao si inakqtiwa samaki sasa yale mabaki kwenye ile mnao yamekuwa na covid-19 so mnao lazma ichomwe moto ila sio kwamba mbao ilikatwa na kupmwa jiongeze kidogoo.
MBAO YA KUKATIA SAMAKI INA CORONA?
ndo maana mimi nasema kwenye corona nipo na Magufuli
 
Wacha kuzunguka, hiyo mbao iliyokatiwa Samaki maana yake imekua "Con terminated" na Samaki, kwahiyo kirusi kilikua ndani ya Samaki, hii ina maana Samaki ndio walikua na Kirusi.

Kwasababu mchina ndiye amegundua Samaki kuwa na kirusi cha Corona hamshangai na mnakubaliana naye, ila Magufuli aliposema mbuzi na ndege wamegundulika kuwa na Corona, mnapinga, tukisema wakenya bado ni watumwa wa watu weupe mnapinga.
Oil za magari je?
 
Mbuzi na ndege walipogundulika na Corona, mbona mlisema hivyo vipimo ni kwa ajili ya binadamu pekee, mbona Leo mbakubaliana na wachina kwamba, Samaki au wanyama wengine wanaweza kuwa na Corona?, "Purely slavery mentality".
Mbona hamuizungumzii ile oil ya magari?
 
mbona alipo sema mapapai Yana corona mlimcheka?
Mimi binafsi sikumcheka, tatizo lipo kwa nyie mnaotafsiri kauli, labda swali dogo kwako mkuu, hivi kama wewe una corona na ukaligusa papai, sample ya papai ikachukuliwa kutoka pale ulipogusa na wakatuta kuna corona, je mrejesho unatakiwa uwe.

1: Papai lina corona?
2: Virus vya corona vimekutwa kwenye papai?
 
papai Lina corona
Mimi binafsi sikumcheka, tatizo lipo kwa nyie mnaotafsiri kauli, labda swali dogo kwako mkuu, hivi kama wewe una corona na ukaligusa papai, sample ya papai ikachukuliwa kutoka pale ulipogusa na wakatuta kuna corona, je mrejesho unatakiwa uwe.

1: Papai lina corona?
2: Virus vya corona vimekutwa kwenye papai?
 
Mbona hamuizungumzii ile oil ya magari?
Kwasababu hata mbuzi na ndege mlipinga, sasa hivi kwasababu wachina wamethibitisha, mnajaribu kuhamisha goli, hata Oil ya Gari, wakipima wachina na wazungu mtakubali, ila wakipima waafrika ndio mnapinga, watumwa wakubwa ninyi, mtaendelea kulamba makalio ya wazungu hadi kaburini
 
Na ile oil inawezekana kuna mtu aliishika akiwa na corona.
Kwanini mpinge oil kuwa corona +.?
We jamaa iyo mnao si inakqtiwa samaki sasa yale mabaki kwenye ile mnao yamekuwa na covid-19 so mnao lazma ichomwe moto ila sio kwamba mbao ilikatwa na kupmwa jiongeze kidogoo
 
Mbuzi temperature yake ni ngapi?, ndege temperature yake ni ngapi?, mbona Magufuli alivyopima mbuzi na ndege mlipinga na kusema vile vipimo ni kwa ajili ya binadamu pekee?

Hao wachina wslichukua 'sample " toka kwenye ubao wa kukatia Samaki/nyama, hiyo maana yake ni kwamba hiyo nyama au Samaki ndio wenye virusi, ' Chopping body was contaminated by fish or meat', not by a person who chopped, otherwise they would take samples from people from that market and find they are the soutces.
Aisee, mbona una stress nyingi hivi kuhusu mambo ambayo ni ya kisayansi na ya kitaaluma zaidi? Hakuna shirika lolote au mtu yeyote ambaye atazuia vipimo vifanywe kwa sampuli kutoka kwa viumbe yyovyote vile. Ila sio kwa kutumia mashine mbovu kama maabara yenu kuu ilivyofanya na sampuli kutoka kwa mbuzi, mapapai na sijui oil ya gari. Unajifanya kwamba huna ufahamu kuhusu ripoti ya waziri wenu wa afya?

Tanzania's laboratory for testing COVID-19 faulty: minister - Xinhua | English.news.cn
 
Aisee, mbona una stress nyingi hivi kuhusu mambo ambayo ni ya kisayansi na ya kitaaluma zaidi? Hakuna shirika lolote au mtu yeyote ambaye atazuia vipimo vifanywe kwa sampuli kutoka kwa viumbe yyovyote vile. Ila sio kwa kutumia mashine mbovu kama maabara yenu kuu ilivyofanya na sampuli kutoka kwa mbuzi, mapapai na sijui oil ya gari. Unajifanya kwamba huna ufahamu kuhusu ripoti ya waziri wenu wa afya? Tanzania's laboratory for testing COVID-19 faulty: minister - Xinhua | English.news.cn
Hii inadhirisha jinsi ulivyomjinga, hii ripoti ni matokeo ya tume iliyoundwa kutokana na uwezo mkubwa wa kufuatilia mambo, kama asingepima vitu kama Oil ya Gari na papai, ambavyo havipaswi kuwa na Corona lakini vikagundulika na Corona, asingekuwa na sababu yoyote ya kutilia mashaka MASHINE zinazotumika, tungekua tunaendelea kupima na kutangaza matokeo huku tukijipa matumaini kwamba vipimo havina shida yoyote kama mnavyofanya huko Kenya.

Sasa hivi ndio mnaanza kuwa wanyonge na mnasema kwamba hakuna shida ya kupima mnyama au kitu kingine chochote baada ya wachina kupima hiyo mbao ya kukatia Samaki, lakini mwanzo mlikua mkipinga kwa hoja kwamba hivyo vipimo ni maalum kwa kupima binadamu pekee. Wakenya hamna akili lazima mkubali.
 
Aisee,hio chopping board imekatia kiumbe chenye corona,sasa haijulikani ni samaki,nyama,chura,popo,kenge ila mbao kama mbao haiwezi kua na corona.Hii ni kesi tofauti na ya ********,kama Oil ya magari inakuaje na corona?
Walivyopima na mbuzi si mlipiga kelele mbona sasa hao samaki waliokatiwa kwenye hiyo mbao ndo wanaonekana wana virusi? Muda mwingine bora muwe mnakaa kimya tu sababu mkijifanya kuongea baadae mnaonekana mlikuwa hamjui kitu.

Pia unafaa ufahamu kuwa lengo la mh.Rais ni kutambua mapungufu ya hivyo vifaa.Ndo maana wakapima na vitu kama Oil.
 
Back
Top Bottom