Hapa kuna utafauti sana na chenye Maghufuli alichokifanya. Yeye alipeleka sampuli maabarani ambazo hazikuwa kachafuliwa (conterminated) na akadai matokeo yake kaonyesha kuna virusi. Hapa tunaongelea vifaa ambavyo vishaa chafuliwa.Pilipili itabaki kwenye kinu,sawa.Ila ngoja nikuulize swali,kwa nini mlimkosoa Magu alipofanya hivi?
Jaribu kuelewa,chopping board ilikatiwa mnyama mwingine then badae salmon ,hao wadudu wote wana bacteria tofauti. Swala ni kuchange chopping board baina ya samaki na nyama au la uoshe.Hyo na ile ya Magufuli Ina tofauti?
Wacha kuzunguka, hiyo mbao iliyokatiwa Samaki maana yake imekua "Con terminated" na Samaki, kwahiyo kirusi kilikua ndani ya Samaki, hii ina maana Samaki ndio walikua na Kirusi.Hapa kuna utafauti sana na chenye Maghufuli alichokifanya. Yeye alipeleka sampuli maabarani ambazo hazikuwa kachafuliwa (conterminated) na akadai matokeo yake kaonyesha kuna virusi. Hapa tunaongelea vifaa ambavyo vishaa chafuliwa
Issue hapa ni kirusi kupatikana kwa wanyama au Samaki. Mbona Magufuli aliposema Mbuzi na Papai na ndege waligundulika kuwa na Virusi mlipinga?. Wakenya hawana akili na wamejaa wivu sana kwa Tanzania na MagufuliJaribu kuelewa,chopping board ilikatiwa mnyama mwingine then badae salmon ,hao wadudu wote wana bacteria tofauti. Swala ni kuchange chopping board baina ya samaki na nyama au la uoshe.
Hao macho ndogo ni wachafu sana niliwahi kukuta chura kwenye buffé lao mpk lao sijawahi kukanyaga restaurant au duka lao lolote.
Hadi na papai na oili ya gari!?🤣🤣Wacha kuzunguka, hiyo mbao iliyokatiwa Samaki maana yake imekua "Con terminated" na Samaki, kwahiyo kirusi kilikua ndani ya Samaki, hii ina maana Samaki ndio walikua na Kirusi.
Kwasababu mchina ndiye amegundua Samaki kuwa na kirusi cha Corona hamshangai na mnakubaliana naye, ila Magufuli aliposema mbuzi na ndege wamegundulika kuwa na Corona, mnapinga, tukisema wakenya bado ni watumwa wa watu weupe mnapinga.
Virusi kama vya COVID-19 huwa vinashamiri kwenye joto la viumbe ambao wana temperature ya zaidi ya 36 degees C. Hakuna samaki ambaye huwa yupo hai kwenye temperature ya kiwango hicho, ndio maana kinachotajwa ni contamination ndani ya soko la nyama, sio samaki kwenye maji au samaki ambao wapo hai. Hebu kuwa serious wakati mwingine na uwe na mazoea ya kusoma ili ujiongeze.Wacha kuzunguka, hiyo mbao iliyokatiwa Samaki maana yake imekua "Con terminated" na Samaki, kwahiyo kirusi kilikua ndani ya Samaki, hii ina maana Samaki ndio walikua na Kirusi.
Kwasababu mchina ndiye amegundua Samaki kuwa na kirusi cha Corona hamshangai na mnakubaliana naye, ila Magufuli aliposema mbuzi na ndege wamegundulika kuwa na Corona, mnapinga, tukisema wakenya bado ni watumwa wa watu weupe mnapinga.
Kwa hili nasimama na rais wanguMBAO YA KUKATIA SAMAKI INA CORONA?
ndo maana mimi nasema kwenye corona nipo na magufuli
Mkuu unemsahau DJ mbowe Pamoja na yule mzee wa kulopoka ,lissuHii awamu ya pili ya Corona ndiyo itaondoka na akina Meko pamoja na Ndogai sasa!
Mbuzi temperature yake ni ngapi?, ndege temperature yake ni ngapi?, mbona Magufuli alivyopima mbuzi na ndege mlipinga na kusema vile vipimo ni kwa ajili ya binadamu pekee?Virusi kama vya COVID-19 huwa vinashamiri kwenye joto la viumbe ambao wana temperature ya zaidi ya 36 degees C. Hakuna samaki ambaye huwa yupo hai kwenye temperature ya kiwango hicho, ndio maana kinachotajwa ni contamination ndani ya soko la nyama, sio samaki kwenye maji au samaki ambao wapo hai. Hebu kuwa serious wakati mwingine na uwe na mazoea ya kusoma ili ujiongeze. Can freshwater fish transmit novel coronavirus? - Chinadaily.com.cn
Wanachosha sana hawa, alafu nashangaa sana kwamba hadi kwenye enzi hizi za info mitandaoni bado kuna watu ambao wanaona sifa kuibuka na kauli za ajabu ajabu kama za kina mama sokoni.Haha, yaani mimi nilitaka kumjibu ila nikajisemea, ntajichosha tu.
Na kwenye lipi haupo naye? Unashaangaa mbao? Je, hujui hata nguo yako au barakoa inaweza kuwa na virus wa corona? Matanga mnatia aibu nchi, yani unashangaa mbao kuwa na corona wakati ushaambiwa chochote kile kinaweza kiwa na hivyo virus mpaka pesa.MBAO YA KUKATIA SAMAKI INA CORONA?
ndo maana mimi nasema kwenye corona nipo na magufuli
Na kwenye lipi haupo naye? Unashaangaa mbao? Je hujui hata nguo yako au barakoa inaweza kuwa na virus wa corona? Matanga mnatia aibu nchi, yani unashangaa mbao kuwa na corona wakati ushaambiwa chochote kile kinaweza kiwa na hivyo virus mpaka pesa.
Ninyi wakenya uwezo wenu wa akili ni mdogo sana, hao wachina walichokifanya ni sawa na Magufuli alichokifanya, kuchukua samples kutoka kwa viumbe na vitu tofauti na binadamu, lakini kwasababu ya wivu na roho mbaya, hamuamini wala kukubali kwamba Magufuli amekua smart kuwazidi hao wazungu mnaowanyenyekea.Wanachosha sana hawa, alafu nashangaa sana kwamba hadi kwenye enzi hizi za info mitandaoni bado kuna watu ambao wanaona sifa kuibuka na kauli za ajabu ajabu kama za kina mama sokoni.
Aisee, hio chopping board imekatia kiumbe chenye corona, sasa haijulikani ni samaki, nyama, chura, popo, kenge ila mbao kama mbao haiwezi kua na corona. Hii ni kesi tofauti na ya Magufuli, kama Oil ya magari inakuaje na corona?Eleza tofauti usijifiche kwenye kichaka unachojaribu kutengeneza. Zote zilikuwa na aim moja;kutambua uwepo wa DNA ya kirusi kwenye hivyo vitu. Sasa utofauti upo wapi?
Kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kuelewa mambo mkuu, binfsi nilishangaa sana pale watu waliposhaanga virus vya corona kukutwa kwenye papai, yani tafsiri yao ya kimatanga wakajua papai ndiyo lina corona, hii nchi ngumu sana.Je, hivi mnaojibu kiajabuajabu mnajua kuwa kirusi kinaweza kupatikana hata kwenye kijiko baada ya kuipaka huenda mate yako ukiwa na corona? Hio haimanishi kijiko kina corona. Tuwe wepesi wa kuelewa
Mbuzi na ndege walipogundulika na Corona, mbona mlisema hivyo vipimo ni kwa ajili ya binadamu pekee, mbona Leo mbakubaliana na wachina kwamba, Samaki au wanyama wengine wanaweza kuwa na Corona?, "Purely slavery mentality".Aisee,hio chopping board imekatia kiumbe chenye corona,sasa haijulikani ni samaki,nyama,chura,popo,kenge ila mbao kama mbao haiwezi kua na corona.Hii ni kesi tofauti na ya ********,kama Oil ya magari inakuaje na corona?