Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Wahouth wa Yemen wamekiri kufanya mashambulizi kwa drone ya Iran.

Wamesema huo ni mwanzo tu bado patakuwa na mfululizo wa mashambulizi kutoka Yemen, Lebanon na Gaza.

Msemaji wa jeshi la Israel amekiri mtu mmoja kufariki dunia na wengine kujeruhiwa.
 
Ajabu kuna watu walitaka kuifananisha Iran na Israel.
Hivi itokee battle Iran atumie total missile power aliyonayo Israel inapona!?
 
Ajabu kuna watu walitaka kuifananisha Iran na Israel.
Hivi itokee battle Iran atumie total missile power aliyonayo Israel inapona!?
Israel atachakazwa vibaya mno na Iran. Fikiria hiyo drone imepenya bila kugundulika na mifumo ya ulinzi ya Israel maana hakuna king'ora kilichotoa alarm.

Halafu hao ni waasi tu wa Yemen wanatuma vyuma kutokea Yemen direct to Israel bila kugundulika na mifumo ya nchi yoyote.
 
Yani mimi nilipoivulia kofia Iran ni ile vita ya 1980-1988.
IRGC ikiwa na jeshi la mapinduzi ilipambana miaka nane ila ikahimili vita,kipindi hiko hawana silaha zao wana silaha za kuunga unga.
Sasa je sasa hivi mtu ana silaha kibao mpaka zingine anagawa hivi inakuaje!?
Ule mzigo wa drone na makombora 300 tu nchi nne zilihusika kuzuia,sasa jiulize battle linaanza jamaa anatuma vyuma 5000 kama alivyokuwa akituma Hamas hiyo Israel inaponea wapi!?
 
Wameaanza tenr kujitingisha
 
Wameaanza tenr kujitingisha
 
Kuimba kupokezana. Ikifika zamu ya Israel kuimba mchekelee hivyo hivyo.
 
Kuimba kupokezana. Ikifika zamu ya Israel kuimba mchekelee hivyo hivyo.
Israel atawaambia raia nendeni stand ya magufuli ndiyo salama,hapo ubungo tunachakaza,mkienda stand ya magufuli,anarusha kombora usiku mmelala,Wana hapo wametimua ofisi ya maafisa vipenyo
 
Sasa bibi yangu sehem aliyotoka Mtume wetu unaita kwa mashoga wenza???Ama umeokoka nn!! Maana ndugu wa muislam ni muislam mwenzake sasa hao eanataka kuipiga nchi iliyo toa mtume na kuna sehem takatifu kwa wailslam🥱🤯
 
Yemeni wagumu wewe tena wagumu kuliko unavyodhani wewe.
Uuliza USA akimtumia Saudi Arabia kuanzia 2014 mpaka 2021 walikumbana na nini.
Waliwakodia hadi ALQAEDA ila walichemka.
Hawana ugumu wowote hao ...hapo yemeni pakichaopwa bomu la nyukilia hao wapuuzi wanapoteana..wale ni wabishi mafala tu unakua mbishi huna teknolojia yeyote unategemea misaada hao wakifinywa watatoa mlio wa panya si mda mrefu.Mm ukiniambia watu wabishi labda kama north korea na wachina hao wanateknoljia na vifaa vyao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…