Hebu tueleze kianga ubaga ..Israeli itafznya maana uwezo wa kutengeneza makombora ya kusafiri umbali huo hana amitumia hizo F 35 haitafikawaHouths wamejinasibisha kuhusika. Kwa mantiki hiyo (kama itakuwa ni kweli na ikathibitika hivyo) watajibiwa hao-hao vikali ipasavyo na Itakuwa ni fundisho kwa wenzao watakaothubutu kufanya hivyo. Tusubiri tuone. Never mess with the Israelites.
Tusubiri majibu ya mwenye Tel aviv yake iliyopigwa. Hatutashangaa sana pale waHouth watakaposhindwa kutamka maji wakaita umma.Wahouth wamesema wao ndio wamepiga tel avivi
Unajua historia?Hizi hesabu za uongo umezitoa wapi!?
We nani kakwambia Tanzania inaendeshwa kwa hisani ya misaada ya Marekani!?
Mbona kipindi cha Magufuli Trump alisitisha misaada Tanzania na nchi iliendelea kupiga hatua!?
Mimi sio Myahudi na wala sio msemaji kwa niaba ya Israeli. Tumwachie Mu-Israeli jukumu hilo atajua yeye mwenyewe.Hebu tueleze kianga ubaga ..Israeli itafznya maana uwezo wa kutengeneza makombora ya kusafiri umbali huo hana amitumia hizo F 35 haitafika
Mazayuni walizuga ilianguka kwa kutunguliwa. Tazama kitu hicho, kama zilivyobamizwa Twin Tower za New York:Tusubiri majibu ya mwenye Tel aviv yake iliyopigwa. Hatutashangaa sana pale waHouth watakaposhindwa kutamka maji wakaita umma.
Wengi humu hawajui historia au walikua hawajazaliwa 1973 au tu hawana akili.Hiki comment yako ni wachache sana kwa sasa watakuelewa wengi watakubeza ila itunze baada ya mwaka 1 au 2 wakati ambapo global financial crisis itakuwa imetukia watakukumbuka
Hujawasikia Wapalestina wanavyokwambia, kuuwawa wanaipigania ardhi ni kuwa Shaheed, wanakutamani sana.Confirmed leo.
Hamas leader kauwawa toka tar 13.
Hao Yemen ni wadudu tu hamna anaehangaika nao.
Wacha kujidhalilisha kwa kuwa ombaomba.Kama inamhusu muisrael moja kwa moja inamhusu Biden, Kama inamhusu Biden na sisi inatuhusu.
Ile misaada ya hisani ya watu wa marekani itaadimika, mafuta yatapanda Bei, nauli za daladala zitapanda, tozo zitaongezeka.
Multiplier effect yake sio ya kitoto.
1973 njaa aliyotutakia mchonga?Wengi humu hawajui historia au walikua hawajazaliwa 1973 au tu hawana akili.
kichwan upo timamu kwel ?Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.
Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 75 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
We hapo ulipo iwe Canada au makunduchi wanakuangalia tu.Hujawasikia Wapalestina wanavyokwambia, kuuwawa wanaipigania ardhi ni kuwa Shaheed, wanakutamani sana.
Hilo wala siyo tatizo ni sifa kubwa hiyo.
Huo mwaka wa 1973 ambapo kulitokea vita ya Yomkippur war ni waarabu kugomea mafuta ndio kulileta mtikisiko wa bei ya mafuta.Unajua historia?
Unajua kilicho sababisha oil shock ya 1973?
Unajua ni kwanini shikingi ya Tanzania ilianza kuporomoka 1974,?
Penda tu uisikie Israel usipende kukutana nayo ana kwa ana.
Hiyo 1973 sio Israel aliyesababisha bali ni waarabu waligomea usambazaji wa mafuta ili Israel iache mashambulizi Syria na kingo zingine za ghuba ya uarabu.Wengi humu hawajui historia au walikua hawajazaliwa 1973 au tu hawana akili.
Mshamba wewe nani kakwambia urabuni hakuna internet!?We hapo ulipo iwe Canada au makunduchi wanakuangalia tu.
Mbona hufi ikawe sifa kubwa kwako.
Huna faida,hapo ukute unapewa hela ya nyumba ,kula,mauli mpaka choo unalipiwa.
Lakini bado ukivaa hilo sjungit utasema makhaafir hawa.
Huku ndo wao wanakufanya upumue.
Na mzee mwenzio mody mmepoteza pesa lukuki kuwasomesha hamna faida yoyote.
We mda huu huna hata haki ya kugusa laptop kama ungekua kwa hao waatama wako waarabu.
Hamna internet kule,leo unapata access popote kwa wazayuni unawatukana tena.ku.buka wanakusoma tu hapo.
Hawa watu ni waongo sijapata kuona or mara .ilikuwa huma error mara ni debrilMazayuni walizuga ilianguka kwa kutunguliwa. Tazama kitu hicho, kama zilivyobamizwa Twin Tower za New York:
View: https://youtu.be/i9bKFaSieCY?si=PyQCJIjci4g5ZUSJ
Waongo sana, bila wamarekani na NATO hao si lolote si chochote. Kila siku wanabamizwa na drones za Hizbollah, Za Iraq Resistant Army na za Wayemeni, sema hao siku zote wanalenga sehemu za kijeshi siyo za raia.Hawa watu ni waongo sijapata kuona or mara .ilikuwa huma error mara ni debril
Asante umenisaidia kwa kusema waarabu walizuia ili ISRAEL.Hiyo 1973 sio Israel aliyesababisha bali ni waarabu waligomea usambazaji wa mafuta ili Israel iache mashambulizi Syria na kingo zingine za ghuba ya uarabu.
HUJUI HISTORIA WEWE.
Israel kwani ni mzalishaji mafuta!?
Ni mataifa gani ndio yanaongoza katika jumuiya ya OPEC kama sio mataifa ya kiarabu na Russia!?