Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

waHouths wamejinasibisha kuhusika. Kwa mantiki hiyo (kama itakuwa ni kweli na ikathibitika hivyo) watajibiwa hao-hao vikali ipasavyo na Itakuwa ni fundisho kwa wenzao watakaothubutu kufanya hivyo. Tusubiri tuone. Never mess with the Israelites.
Hebu tueleze kianga ubaga ..Israeli itafznya maana uwezo wa kutengeneza makombora ya kusafiri umbali huo hana amitumia hizo F 35 haitafika
 
Wahouth wamesema wao ndio wamepiga tel avivi
Tusubiri majibu ya mwenye Tel aviv yake iliyopigwa. Hatutashangaa sana pale waHouth watakaposhindwa kutamka maji wakaita umma.
 
Hapo izirael hawaliilii mtandaoni
Ngoja wapigwe vikofia uone drama
 
Hizi hesabu za uongo umezitoa wapi!?
We nani kakwambia Tanzania inaendeshwa kwa hisani ya misaada ya Marekani!?
Mbona kipindi cha Magufuli Trump alisitisha misaada Tanzania na nchi iliendelea kupiga hatua!?
Unajua historia?
Unajua kilicho sababisha oil shock ya 1973?
Unajua ni kwanini shikingi ya Tanzania ilianza kuporomoka 1974,?
Penda tu uisikie Israel usipende kukutana nayo ana kwa ana.
 
Hebu tueleze kianga ubaga ..Israeli itafznya maana uwezo wa kutengeneza makombora ya kusafiri umbali huo hana amitumia hizo F 35 haitafika
Mimi sio Myahudi na wala sio msemaji kwa niaba ya Israeli. Tumwachie Mu-Israeli jukumu hilo atajua yeye mwenyewe.
 
Hiki comment yako ni wachache sana kwa sasa watakuelewa wengi watakubeza ila itunze baada ya mwaka 1 au 2 wakati ambapo global financial crisis itakuwa imetukia watakukumbuka
Wengi humu hawajui historia au walikua hawajazaliwa 1973 au tu hawana akili.
 
Kama inamhusu muisrael moja kwa moja inamhusu Biden, Kama inamhusu Biden na sisi inatuhusu.
Ile misaada ya hisani ya watu wa marekani itaadimika, mafuta yatapanda Bei, nauli za daladala zitapanda, tozo zitaongezeka.
Multiplier effect yake sio ya kitoto.
Wacha kujidhalilisha kwa kuwa ombaomba.
 
Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.

Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 75 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
kichwan upo timamu kwel ?
 
Hujawasikia Wapalestina wanavyokwambia, kuuwawa wanaipigania ardhi ni kuwa Shaheed, wanakutamani sana.

Hilo wala siyo tatizo ni sifa kubwa hiyo.
We hapo ulipo iwe Canada au makunduchi wanakuangalia tu.
Mbona hufi ikawe sifa kubwa kwako.
Huna faida,hapo ukute unapewa hela ya nyumba ,kula,mauli mpaka choo unalipiwa.
Lakini bado ukivaa hilo sjungit utasema makhaafir hawa.
Huku ndo wao wanakufanya upumue.
Na mzee mwenzio mody mmepoteza pesa lukuki kuwasomesha hamna faida yoyote.
We mda huu huna hata haki ya kugusa laptop kama ungekua kwa hao waatama wako waarabu.
Hamna internet kule,leo unapata access popote kwa wazayuni unawatukana tena.ku.buka wanakusoma tu hapo.
 
Screenshot_20240719-215649.png
 
Unajua historia?
Unajua kilicho sababisha oil shock ya 1973?
Unajua ni kwanini shikingi ya Tanzania ilianza kuporomoka 1974,?
Penda tu uisikie Israel usipende kukutana nayo ana kwa ana.
Huo mwaka wa 1973 ambapo kulitokea vita ya Yomkippur war ni waarabu kugomea mafuta ndio kulileta mtikisiko wa bei ya mafuta.
Sababu sio Israel.
Hiyo 1974 sababu ya sio tu shilingi bali ni uchumi wa Tanzania na East Africa kiujumla kuanza kuwa na masekeseke ni athari za structured adjustment program.
-Embu tuchukulie current issue,Vita ya Gaza na Israel ilodumu miezi 9 Israel imeathirika kiuchumi na pia imeporomoka kidiplomasia mataifa mengi yameitenga Israel,meli hazivuki red sea kwenda Israel.
Je kuna athari zozote za kiuchumi zilitokea Globally!!??
Hayo mafuta mwarabu na Mrusi akileta maringo ndio tutateseka ila sio USA na Israel.
Una mengi ya kujifunza kaka.
 
Wengi humu hawajui historia au walikua hawajazaliwa 1973 au tu hawana akili.
Hiyo 1973 sio Israel aliyesababisha bali ni waarabu waligomea usambazaji wa mafuta ili Israel iache mashambulizi Syria na kingo zingine za ghuba ya uarabu.
HUJUI HISTORIA WEWE.
Israel kwani ni mzalishaji mafuta!?
Ni mataifa gani ndio yanaongoza katika jumuiya ya OPEC kama sio mataifa ya kiarabu na Russia!?
 
We hapo ulipo iwe Canada au makunduchi wanakuangalia tu.
Mbona hufi ikawe sifa kubwa kwako.
Huna faida,hapo ukute unapewa hela ya nyumba ,kula,mauli mpaka choo unalipiwa.
Lakini bado ukivaa hilo sjungit utasema makhaafir hawa.
Huku ndo wao wanakufanya upumue.
Na mzee mwenzio mody mmepoteza pesa lukuki kuwasomesha hamna faida yoyote.
We mda huu huna hata haki ya kugusa laptop kama ungekua kwa hao waatama wako waarabu.
Hamna internet kule,leo unapata access popote kwa wazayuni unawatukana tena.ku.buka wanakusoma tu hapo.
Mshamba wewe nani kakwambia urabuni hakuna internet!?
Qatar Al-Jazeera wanarushaje matangazo kama hakuna internet!?
Hujaachaga tu kuropoka!?
 
Hawa watu ni waongo sijapata kuona or mara .ilikuwa huma error mara ni debril
Waongo sana, bila wamarekani na NATO hao si lolote si chochote. Kila siku wanabamizwa na drones za Hizbollah, Za Iraq Resistant Army na za Wayemeni, sema hao siku zote wanalenga sehemu za kijeshi siyo za raia.

Na hilo jengo lililopigwa siyo la Kiraia ni la watu wa jeshi lao.

Wametangaza kafa mmoja lakini ujuwe ni zaidi ya mmoja.
 
Hiyo 1973 sio Israel aliyesababisha bali ni waarabu waligomea usambazaji wa mafuta ili Israel iache mashambulizi Syria na kingo zingine za ghuba ya uarabu.
HUJUI HISTORIA WEWE.
Israel kwani ni mzalishaji mafuta!?
Ni mataifa gani ndio yanaongoza katika jumuiya ya OPEC kama sio mataifa ya kiarabu na Russia!?
Asante umenisaidia kwa kusema waarabu walizuia ili ISRAEL.
I REST MY CASE
 
Back
Top Bottom