Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.


Haaaaaaaaa..............!!!!!!!!!!!!!!!
We Mwana weeeeeee............ Smile
Ukitaka tuanze kutaja Pea hapa, Wallah wengine wataachika kwa mbwembwe na nderemo.
 
Last edited by a moderator:
ilikuwa poa sema mimi sijafurahi sana kila mtu alikuwa na wake mimi tu ndo nilikuwa mpweke naomba kipindi kijacho nitafutiwe patrner hata wa kukodi kwa muda jamani

Hahaha pole mamito....
 
Ila lile kumbatio la kule CHUMVINI hakika hutokuja lipata tena kama lile toka kwa PJ....mpaka dereva alitaka kutuingiza mtaroni jinsi mimacho ilivyokua yamtoka kutaka shuhudia.
watu8 yani Hakunaga kumbatio tamu kama lile la PakaJimmy hata Chimbuvu wangu hajawahi nipaga,
Nini dereva, ulimuona mume wangu Arushaone na Arabela walivyokuwa wanatushangaa........ mpaka nikajisikia aibu yenye Utamu.
 
Nimesema nitarudi Tanga kwaajili ya Arabela! Hii hata wife wangu marejesho ameridhia! Chezeya toto ya kitanga weye!!!! Maji ya ukili si mchezo! Ukiyaoka hutoki kwenye mkeka!
 
Last edited by a moderator:
ilikuwa poa sema mimi sijafurahi sana kila mtu alikuwa na wake mimi tu ndo nilikuwa mpweke naomba kipindi kijacho nitafutiwe patrner hata wa kukodi kwa muda jamani

Jamani!? Next tym utakuwa na Mwanyasi. Usijali mama wa tabasamu!
 
Last edited by a moderator:
Dark City; Umeonaeeeee!!!!! Kuitwa kiongozi ndiyo faiida yake!!!!


 
Last edited by a moderator:
Ulikuwa unatoa sauti tamu Madame B!!!

Si unajua nilikuwa najaribu kumteka kiaina PakaJimmy, nayeye akategeka mwenyewe, Chezea Mimi wewe.
Basi kadri niendeleavyo basi nae kumbatio huzidi, nikaona hapo hapo, hasa ukizigatia My Huz AraChuga1 alikuwa amempa Ruhusa PJ
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…