Mliwasikia Kitayosce walivyosema?

Last-minute ditch
 
Kama ni hivyo si makosa yao kwa nini nechi isirudiwe?
 
Kama ni hivyo si makosa yao kwa nini nechi isirudiwe?
Kusubiri dakika za mwisho kutuma documents za zaidi ya nusu ya wachezaji wao wote sio kosa lao ?!!, Walikuwa wapi siku zote ?
 
Mimi ndiyo maana siku zote nitapaza sauti yangu kuona TFF inarejeshwa mikononi mwa wenye mpira wao, kama ilivyokuwa enzi za Leodgar Chailla Tenga.

Kuruhusu wanansiasa na makada wa ccm kujilimilikisha hili shirikisho, madhara yake ndiyo haya sasa. Jitu likijisikia tu, linafanya vile lipendavyo! Hata kama ni madudu.
 
Kumbe
 
Kama tatizo lilikuwa mfumo wa Tifuatifua kwa nini iadhibiwe timu iliyopeleka majina kwa wakati? Wangeairisha. Azam anaanza kubwebwa mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…