Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Laana ni ngozi yako na ya familia yako sisi sio laana.Waafrika hasa Tanzania hatujawahi kuwa na akili, ngozi nyeusi ni laana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ni ngozi yako na ya familia yako sisi sio laana.Waafrika hasa Tanzania hatujawahi kuwa na akili, ngozi nyeusi ni laana.
Jipe moyo tuLaana ni ngozi yako na ya familia yako sisi sio laana.
Last-minute ditchNext time wayapeleke a week before..., System zetu tunazijua sisi; ukizingatia huenda TFF hawaruhusiwi kufanya haya mambo manually.....
Kwahio iwe funzo la kutokufanya vitu last minute...., Inaweza kutokea kwa watu watatu au wanne lakini sio timu nzima
Du hii Africa sijui nani katurogaWaafrika hasa Tanzania hatujawahi kuwa na akili, ngozi nyeusi ni laana.
Kwahiyo mama yako ni laana?Jipe moyo tu
Kwahiyo nawe umelogwa? Mama yako naye amelogwa?Du hii Africa sijui nani katuroga
Sawa, Black Lives MatterKwahiyo mama yako ni laana?
Hujanijibu, kwa hiyo mama yako ana laana?Sawa, Black Lives Matter
Nimekujibu ila unataka jibu lipendezalo siko lako.Hujanijibu, kwa hiyo mama yako ana laana?
Du stess is real. Mzazi wangu anahusikaje hapa JF.?Kwahiyo nawe umelogwa? Mama yako naye amelogwa?
Kwani mzazi wako sio Mwafrika?Du stess is real. Mzazi wangu anahusikaje hapa JF.?
Kusubiri dakika za mwisho kutuma documents za zaidi ya nusu ya wachezaji wao wote sio kosa lao ?!!, Walikuwa wapi siku zote ?Kama ni hivyo si makosa yao kwa nini nechi isirudiwe?
KumbeAfisa habari wa klabu ya Kitayosce, Pendo Lema amesema walikuja Dar es Salaam na wachezaji (20) kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam football club.
Jana asubuhi walikamilsha malipo yote ya vibali vya wachezaji wao wote (TFF) wakaambiwa mtandao unasumbua hivyo wasubiri majina ya wachezaji wao yaingizwe.
Ameendelea kusema, baadae mchana wakapewa taarifa kuwa majina (8) ya wachezaji wao yameingizwa kwenye system wasubir majina mengine.
Ameeleza kuwa, wachezaji hao (8) sio wa kikosi cha kwanza ni wale waliopanda daraja na timu kutokea Championship.
Mpaka muda wa mchezo unafika amesema majina yaliyokuwa kwenye system wanaoruhusiwa kucheza yalikuwa (8) tu hivyo ikabidi waende hivyohivyo uwanjani.
Majina yote ya wachezaji wao tayari yameingizwa kwenye system mpaka sasa, ameeleza kuwa jana usiku ndio walipewa taarifa kuwa majina yote yako verified.
Kama tatizo lilikuwa mfumo wa Tifuatifua kwa nini iadhibiwe timu iliyopeleka majina kwa wakati? Wangeairisha. Azam anaanza kubwebwa mchana kweupe.Afisa habari wa klabu ya Kitayosce, Pendo Lema amesema walikuja Dar es Salaam na wachezaji (20) kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam football club.
Jana asubuhi walikamilsha malipo yote ya vibali vya wachezaji wao wote (TFF) wakaambiwa mtandao unasumbua hivyo wasubiri majina ya wachezaji wao yaingizwe.
Ameendelea kusema, baadae mchana wakapewa taarifa kuwa majina (8) ya wachezaji wao yameingizwa kwenye system wasubir majina mengine.
Ameeleza kuwa, wachezaji hao (8) sio wa kikosi cha kwanza ni wale waliopanda daraja na timu kutokea Championship.
Mpaka muda wa mchezo unafika amesema majina yaliyokuwa kwenye system wanaoruhusiwa kucheza yalikuwa (8) tu hivyo ikabidi waende hivyohivyo uwanjani.
Majina yote ya wachezaji wao tayari yameingizwa kwenye system mpaka sasa, ameeleza kuwa jana usiku ndio walipewa taarifa kuwa majina yote yako verified.
Na Azam.TFF ni ofisi Tanzu ya Simba !
Kilimanjaro Talented Youth Sports CenterNaomba kirefu cha kitayose na sofapaka