Zitto imempiga Corona japo Chanjo kapata
Wamedanganywa kuwa ukipata Chanjo ukiumwa Corona siyo serious.
Cha hajabu hata ambao hawajapata Corona na wao wakipata mafua wanapona vizuri
Hakuna taarifa yeyote kama mafua ya kipindi hiki yameondoa uhai watu
Una uhakika hayo mafua ni korona? Umejuaje na Tanzania hawazingatii upimaji wala hakuna takwimu? Wewe ni mgeni hapa? Mwaka jana kulikuwa na thread ya wanalalamika mafua makali sana na homa na wengi wakafikia hitimisho kuwa ni korona ila watu hawafi kwa sababu waafrika ni sugu. Baada ya muda ilipopiga korona ya kweli watu wakafa kwa wingi ndiyo tukajua kuwa kumbe yale yalikuwa mafua ya kawaida tu. BTW unafikiria hata kama hiki kirusi kipya hakina makali basi ndiyo hatari imepita? Unajua maana ya mutation? Unajua ni kwanini wanasisitiza sana watu wachanjwe?
Ndugu zangu Watanzania, Mimi nipo kwenye sekta ya afya. Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi. Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa 1...
Kwenye chanjo unamaingizia tu jiwe, wachezaji wengi kule Europe hasa EPL wamegoma kuchanja na hawataki kusikia chanjo.
Hao nao unataka kusema jiwe kaharibu akili zao, suala la chanjo ni dunia nzima wanapinga hakuna nchi raia wote wamekubali

Mi nimechanja Pfizer na sindano ya 2 nilipata september.
Niko okay tu hadi sasa na sijapata changamoto yoyote ile, sina hakika kama ni sababu ya chanjo maana hata kabla ya kuchanjwa pia sikuwahi kupata changamoto zozote zile zinazoashiria kuwa nna covid 19, kwahiyo sijaona tofauti yoyote ile kwenye afya yangu
Binafsi nilichanja 06/11/2021 na nilirudi kuchanja chanjo ya pili 24/11/2021 naendelea vizuri pia kwa chanjo zote mbili so kuhisi madhara yote mwilini.[emoji120]
Kwenye chanjo unamaingizia tu jiwe, wachezaji wengi kule Europe hasa EPL wamegoma kuchanja na hawataki kusikia chanjo.
Hao nao unataka kusema jiwe kaharibu akili zao, suala la chanjo ni dunia nzima wanapinga hakuna nchi raia wote wamekubali
Na sijasema kuna nchi raia wake wote wamekubali. Uwe unasoma na kuelewa kabla ya kuchangia. Mimi nimezungumzia jiwe alivyopotosha akili za watu kuhusu suala zima la korona. BTW ukiambiwa utoe takwimu za EPL ni wachezaji wangapi wachanja na ni wangapi hawajachanja unazo?
Una uhakika hayo mafua ni korona? Umejuaje na Tanzania hawazingatii upimaji wala hakuna takwimu? Wewe ni mgeni hapa? Mwaka jana kulikuwa na thread ya wanalalamika mafua makali sana na homa na wengi wakafikia hitimisho kuwa ni korona ila watu hawafi kwa sababu waafrika ni sugu. Baada ya muda ilipopiga korona ya kweli watu wakafa kwa wingi ndiyo tukajua kuwa kumbe yale yalikuwa mafua ya kawaida tu. BTW unafikiria hata kama hiki kirusi kipya hakina makali basi ndiyo hatari imepita? Unajua maana ya mutation? Unajua ni kwanini wanasisitiza sana watu wachanjwe?
Ndugu zangu Watanzania, Mimi nipo kwenye sekta ya afya. Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi. Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa 1...
Wamejua kutuchonganisha sana sahivi kuna pande mbili na kila pande inamuombea mwenzake mabaya, Waliochanjwa wanaomba wasiochanjwa yawakute mambo na wasiochanjwa wanaomba waliochanjwa wakutwe na mambo.

Mimi hapa nimerudi kusukumiza nyungu, tusiingie mtego wa mabeberu wa kuhamasisha matumizi ya chanjo. Tutajikuta tunakuwa tegemezi wa chanjo na kuua mfumo wa kinga asili. Na tukifikia hatua hiyo, beberu atakuwa katushika masikio na kutupeleka uelekeo anaotaka...........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.