Toafuti:
1. Aliyechanjwa hapati virus kwa urahisi na hata akipata haugui taabani (viral load ya virus mwilini inakuwa ndogo) na hata akiugua taabani hafi kirahisi na wale wanaokufa ni wachache sana na wanakuwa na complication nyingine.
2. Aliyechanja haumbikizi wenzake kwa urais hata na hata akiambukiza, anaambukiza virus wachache sana na hawakai kwa muda mrefu kwenye mwilini hivyo uwezekano wa virus ku-mutate unakuwa mdogo.
Conclusion: Namna pekee ya kukabiliana na hawa virus ni kwa kila mtu kuchanja.