#COVID19 Mlochoma chanjo njooni mtupe mrejesho kwa hali ya sasa

#COVID19 Mlochoma chanjo njooni mtupe mrejesho kwa hali ya sasa

Nilichoma tarehe 9/9 hadi Leo sijaumwa hata mafua[emoji120]

Nawacheki tu wadau wanavyohaha[emoji41]
 
Chanjo haizuii maambukizi ya corona wala haifanyi mtu apatapo maambukizi asiumwe...

Chanjo iliundwa ili kupunguza nguvu ya athari ya Covid, yaani watu wasipate severe illness...
Sahihi kabisa. Kwenye hizi chanjo tunazotumia hakuna ambayo inazuia maambukizi moja kwa moja. Ila zinapunguza ukali wa maradhi na muda wa kuugua pia.
Ila pia kuna magonjwa mengine ambayo hushambulia mfumo wa upumuaji ambayo yalikuwepo kabla ya huu mripuko wa COVID19, sio kila anaeumwa mafua au kikohozi kuwa ana covid, wengine wana shida nyengine tu.
 
Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli

Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa....
Nothing
 
Acha wajinga wapigwe sindano za kutosha, kila wimbi sindano,na jamaa wajanja kila wakikaa wakiona kumetulia wanaibua kua kuna kirusi kingine kimeibuka huko kinaitwa gamma 😂😂.

Wakija kushtuka baadhi ya viungo vya mwili havifanyi kazi tena
 
Zitto imempiga Corona japo Chanjo kapata
Wamedanganywa kuwa ukipata Chanjo ukiumwa Corona siyo serious.
Cha hajabu hata ambao hawajapata Corona na wao wakipata mafua wanapona vizuri

Hakuna taarifa yeyote kama mafua ya kipindi hiki yameondoa uhai watu
Anasema kasoma vitabu 30 mwaka huu,ila kashindwa kujua kua corona ni utapeli tu
 
Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli

Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa....

Swali lako ni la kitafiti zaidi, na nu sawali zuri, lakini kuna mambo ya msingi kuzingatia kabla ya kutafakari majibu utakayopata:

1: Je mafua/tatizo la kiafya tuliyopata au tunayopata ni SARS-COVID VARIANT?

2: Je chanjo huzuia maambukizi?

3: Ili chanjo yoyote iwe na athari chanya kwenye jamii husika unahitaji coverage ya 85% au zaidi ya wanajamii. Je tuko kwenye asilimia ngapi kwa chanjo husika?

4: Ukipata jibu la hapo namba moja ni tatizo husika, basi alika na wasiochanja wakupe majibu ili ulinganishe/comparison. La sivyo swali lako litakuwa biased yaani limeacha wahusika wengine ambao ni muhimu. Ili kukanusha au kuthibitisha umuhimu wa chanjo.

Hii itakuwa nzuri zaidi, ingawa njia ya kupata sample ni ngumu kuhakiki unachokipata kwani ungekuwa na maswali standard na dalili
husika tofauti ikawa ni kuchanja au kutokuchanja.
 
Mm sijachoma hizo dalili nimepata hadi kuumwa kfua lakini haikuwa serious sana na nshaapona
Mimi sijachoma. Nimeugua lakini nimepona kwa muda mfupi kwa kutumia home remedy tu. Wala sikuwa serious sana.
 
Same... Nitachoma nikitaka safiri kwasababu ntakuwa sina option
Huna sababu ya kuwa specimen ya mtu anayetaka kuunda mtu. Wewe habari ya cheti cha chanjo ni kitu kingine na kuchanjwa ni kitu kingie. Usijiue kwa sababu unataka cheti cha safari.
 
Back
Top Bottom