macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Magufuli aliharibu sana akili zenu. Nadhani watanzania wengi hawajui abc za korona na chanjo kwa ujumla.Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli
Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa....
Una uhakika hayo mafua ni korona? Umejuaje na Tanzania hawazingatii upimaji wala hakuna takwimu? Wewe ni mgeni hapa? Mwaka jana kulikuwa na thread ya wanalalamika mafua makali sana na homa na wengi wakafikia hitimisho kuwa ni korona ila watu hawafi kwa sababu waafrika ni sugu. Baada ya muda ilipopiga korona ya kweli watu wakafa kwa wingi ndiyo tukajua kuwa kumbe yale yalikuwa mafua ya kawaida tu. BTW unafikiria hata kama hiki kirusi kipya hakina makali basi ndiyo hatari imepita? Unajua maana ya mutation? Unajua ni kwanini wanasisitiza sana watu wachanjwe?Zitto imempiga Corona japo Chanjo kapata
Wamedanganywa kuwa ukipata Chanjo ukiumwa Corona siyo serious.
Cha hajabu hata ambao hawajapata Corona na wao wakipata mafua wanapona vizuri
Hakuna taarifa yeyote kama mafua ya kipindi hiki yameondoa uhai watu
Kwenye chanjo unamaingizia tu jiwe, wachezaji wengi kule Europe hasa EPL wamegoma kuchanja na hawataki kusikia chanjo.Magufuli aliharibu sana akili zenu. Nadhani watanzania wengi hawajui abc za korona na chanjo kwa ujumla.
Nani kakuambia watu walikufa kwa uwingi kushinda Italy,USAUna uhakika hayo mafua ni korona? Umejuaje na Tanzania hawazingatii upimaji wala hakuna takwimu? Wewe ni mgeni hapa? Mwaka jana kulikuwa na thread ya wanalalamika mafua makali sana na homa na wengi wakafikia hitimisho kuwa ni korona ila watu hawafi kwa sababu waafrika ni sugu. Baada ya muda ilipopiga korona ya kweli watu wakafa kwa wingi ndiyo tukajua kuwa kumbe yale yalikuwa mafua ya kawaida tu. BTW unafikiria hata kama hiki kirusi kipya hakina makali basi ndiyo hatari imepita? Unajua maana ya mutation? Unajua ni kwanini wanasisitiza sana watu wachanjwe?
Hii ni thread ya mwaka jana kipindi kama hiki:
Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar
Ndugu zangu Watanzania, Mimi nipo kwenye sekta ya afya. Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi. Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa 1...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23]Waziri mhusika alitoa ushuhuda kuwa mashine imekaa vizuri zaidi baada ya kukaguliwa na mzee
Mi nimechanja Pfizer na sindano ya 2 nilipata september.Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli
Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa....
Si kwamba mwili wenyewe ulikuwa umejijengea kinga tayari baada ya kuugua?Nimedunga J & J mwezi was 8. Mwezi wa 7 nilipigwa na COVID juzi kati tena ikanipiga nikiri Kuna tofauti.
Sikuacha kwenda kazini tofauti na Ile ya mwanzo.
Did I mention Italy and USA in my comment? Unajua kusoma kwa ufahamu au unajibu vapour tu?Nani kakuambia watu walikufa kwa uwingi kushinda Italy,USA
Wewe upo kwenye upande wa kusisitiza watu wachanjwe?
Na sijasema kuna nchi raia wake wote wamekubali. Uwe unasoma na kuelewa kabla ya kuchangia. Mimi nimezungumzia jiwe alivyopotosha akili za watu kuhusu suala zima la korona. BTW ukiambiwa utoe takwimu za EPL ni wachezaji wangapi wachanja na ni wangapi hawajachanja unazo?Kwenye chanjo unamaingizia tu jiwe, wachezaji wengi kule Europe hasa EPL wamegoma kuchanja na hawataki kusikia chanjo.
Hao nao unataka kusema jiwe kaharibu akili zao, suala la chanjo ni dunia nzima wanapinga hakuna nchi raia wote wamekubali
Did I mention Ndo nini unajifanya mzungu sana.Did I mention Italy and USA in my comment? Unajua kusoma kwa ufahamu au unajibu vapour tu?
Una uhakika hayo mafua ni korona? Umejuaje na Tanzania hawazingatii upimaji wala hakuna takwimu? Wewe ni mgeni hapa? Mwaka jana kulikuwa na thread ya wanalalamika mafua makali sana na homa na wengi wakafikia hitimisho kuwa ni korona ila watu hawafi kwa sababu waafrika ni sugu. Baada ya muda ilipopiga korona ya kweli watu wakafa kwa wingi ndiyo tukajua kuwa kumbe yale yalikuwa mafua ya kawaida tu. BTW unafikiria hata kama hiki kirusi kipya hakina makali basi ndiyo hatari imepita? Unajua maana ya mutation? Unajua ni kwanini wanasisitiza sana watu wachanjwe?
Hii ni thread ya mwaka jana kipindi kama hiki:
Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar
Ndugu zangu Watanzania, Mimi nipo kwenye sekta ya afya. Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi. Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa 1...www.jamiiforums.com
Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli
Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa...
Kuchoma chanjo haimaanishi hupati corona, ila ukipata uwezekano wa kupita kama homa ya kawaida ni mkumbwa. Waliokuwa ICU , 9 out of 10 hawakuchanja.Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli
Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa....