Brown Kwacha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 299
- 405
Sijui....inabidi tufanye utafiti wa kisayansi. Ila hata mafua yalikuwa yakinishika yananipiga saana. Ila kwasasa ni afadhali.Si kwamba mwili wenyewe ulikuwa umejijengea kinga tayari baada ya kuugua?
Watu wanaumwa kweli kweli mimi ni miongoni mwa waliopata chanjo ya covid 19 HAKIKA SIKUPATA MADHARA YOYOTE KWA HII WAVES YA WATU KUUGUA HOVYO HOVYOMlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli
Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa....
Unapochoma chanjo lazima uume...unaingiziwa antibiotics zenye nguvu saana mwilini na zinaenda kusisimua Kinga ya mwili.Mmoja nayemfahamu kachanja juzi kaumwa kakimbilia nyungu
Nimeweka taa begani inawaka na shilingishilingi nyingi zimenasa begani, sina shida ya hela ndogo ndogo za bieri.Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli
Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa....
Chanjo haizuii maambukizi ya corona wala haifanyi mtu apatapo maambukizi asiumwe...
Chanjo iliundwa ili kupunguza nguvu ya athari ya Covid, yaani watu wasipate severe illness...
na waliochoma,wasiootafuta booter na 3 hakiyani tutawapoteza,maana taya miili imesha respond chanjo na natural immune ime relax,hapo Sasa !!Wameambiwa watafute booster namba tatu cos this variantis deadlythan ever b4
Shule ni muhimu mno, watu wanaropoka tu, hawajui nini hasa hiyo chanjo inachofanya mwilini. Aliyetunyima elimu ametuweza.Chanjo haizuii maambukizi ya corona wala haifanyi mtu apatapo maambukizi asiumwe...
Chanjo iliundwa ili kupunguza nguvu ya athari ya Covid, yaani watu wasipate severe illness...
Katika mapambano dhidi ya Covid, hayati alikuwa ni mpumbavu ktk hili, ndiye aliyegawa taifa.Magufuli aliharibu sana akili zenu. Nadhani watanzania wengi hawajui abc za korona na chanjo kwa ujumla.
Magu hakufa kwa Corona Wazungu walizima kifaa chao cha Moyokitengo maalum kilimtoa duniani
Kweni Wizara ya Afya inasemaje au bado inamuogopa Magufili?Hakuna taarifa yeyote kama mafua ya kipindi hiki yameondoa uhai watu
Kwa hiyo ni sawa na malimau na tangawizi tu?
Anataka kujua tofauti ya waliochanja na wasiochanja ili acahague upande uliosahihiMagufuli aliharibu sana akili zenu. Nadhani watanzania wengi hawajui abc za korona na chanjo kwa ujumla.
Kwenda zako. Huna uwezo wa kupambana na mimi kwa lugha wewe. Idiot! Iwe kiswahili iwe kiingereza.Did I mention Ndo nini unajifanya mzungu sana.
Sikujibu ilo swali lako kwa kuwa umeandika upuuz
Shuleni sijui mlienda kujifunza nini? Kwa uandishi huu
Kiswahili kiingereza unachanganya
Hizi shule sijui zinafunguliwa lini, wanafunzi warudi shule mkajifunze
Toafuti:Anataka kujua tofauti ya waliochanja na wasiochanja ili acahague upande uliosahihi
Hiyo conclosion ni yako wewe na wanaokutuma.Toafuti:
1. Aliyechanjwa hapati virus kwa urahisi na hata akipata haugui taabani (viral load ya virus mwilini inakuwa ndogo) na hata akiugua taabani hafi kirahisi na wale wanaokufa ni wachache sana na wanakuwa na complication nyingine.
2. Aliyechanja haumbikizi wenzake kwa urais hata na hata akiambukiza, anaambukiza virus wachache sana na hawakai kwa muda mrefu kwenye mwilini hivyo uwezekano wa virus ku-mutate unakuwa mdogo.
Conclusion: Namna pekee ya kukabiliana na hawa virus ni kwa kila mtu kuchanja.
Just i dont get you! Kuna uhusiano gani kati ya kipundupindu kuua na chanjo ya korona? Ndiyo maana nikasema mmelemazwa na mawazo ya Magufuli.Hiyo conclosion ni yako wewe na wanaokutuma.
Kipindupindu kinaua kuliko corona usitishe watu kama kwenu mnaumwa chanjeni