LGE2024 Mlowo: Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mimi sio CCM lakini hapa CDM wamekosea walipaswa kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama
 
Waambie nimewatukania
 
MTAHENYA MWAKA HUU LAANA YA KUMTUKANA JPM INAWARUDIA MPAKA MAJI MUITE MMA WAPUUZI NYIE
 
Hizi sympathy za kutafutiza chaaaaa!
So mnatupanga!

Ukiisha uchafuzi sorry uchanguzi 🫣 msikose excuses za tulijaribu si mliona vile walitufanya…

Tuliwashauri zuieni hili zoezi kwa namna yoyote sio kususa but kuzuia kwani ni batili
Mliwaacha wanaharakati kupeleka kesi mahakamani wenyewe… hizi sarakasi zitaisha lini?

Ngoja tusogeze meza iliyojaa bilauri tupu.
 
CHADEMA ni wapumbavu. Hayo mazungumzo yasiyokuwa na kibali cha polisi ni uvunjifu wa amani. ACT ndo wanatoa vibali vya mikutano siku hizi? Waache utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…