The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Mimi sio CCM lakini hapa CDM wamekosea walipaswa kutoa taarifa kwa vyombo vya usalamaChadema wanapenda attention ya media. Ratiba ni ya ACT, chadema anaongea na ACT na kukubaliana kabla ya mkutano wa ACT kuanza mwenyekiti wa Chadema aongee na wananchi, childish. Unafanya mabadiliko bila kutaarifu vyombo vilivyokabidhiwa ratiba kusimamia amani kwenye mikutano?? Walitakiwa kuomba kibali kwa wenye mamlaka ya kusimamia amani ya mikutano kuwa tumekubaliana na ACT kuwa tutaanza sisi kisha wataendelea.
Wameenda kiholela na wenye mamlaka ya kusimamia usalama hawakuwa na taarifa wakadhani wanataka kuleta chokochoko. Wenye mamlaka wapo sahihi, wasubuli siku yao na wafuate utaratibu na ratiba iliyowekwa ambayo wanaijua ila wanataka muda wote waonekane wanaonewa ili waonewe huruma