Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

Nilifundishwa sadaka yoyote inaleta majibu, na sadaka inatoka moyoni yaani amani ya moyo inaridhia kumtolea Mungu kwa kupenda sio kwa kulazimishwa, nimejifunza mengi pia sanaa
 
Unajua mizimu wewee?, dhahiri unatokea miongoni mwa makabila ya kishamba sana hapa Tanzania.

Watu wa Karne hii na ijayo hawatakuja kuabudu mizimu kamwe, hata wahadzabe wameanza kwenda makanisani na misikitini.
 
Toa zaka na sadaka tu ! Michango mingine yoyoyte ile usitoe, simple !!!!!
Wakat tunakua kulikua hakuna utitiri wa michango wala mapadri kutumia lugha kal kulazimisha waumin wachange yan ulikua unaenda church roho nyeupe unatoa sadako yako uliyoipanga wewe kimya kimya mana tuliambiwa sadaka ni siri LEO hii unapangiwa sadaka na hapo masimango kibao yan misa nzima padri analalamikia michango,mim nilitoka huko kitambo nikitaka kutoa sadaka natoa kwa yatima na wenye uhitaj
 
Mara bashasha ya papa, bashasha ya pasaka na krismas....Sasa papa tunamchangiaje huku!?!? Hovyo sana!

Halafu maparoko wana misuse sana hizo pesa, sema nini baadhi ya majimbo kuna utaratibu wa kufanyiwa auditing siku hizi...!

Kuna siku nilisali kkkt nikakutana na bashasha za sadaka nane. Mpk ya mfuko wa elimu

Kuna lile kanisa la chanzo Halisi....yule ndio amepanga macontena yake mbele watu wanapishana TU na bashasha kutumbukiza humo sijui hapo kumi na ngapi!

Ni ubatili balaa....

Kanisa linajenga ukumbi kwa michango ya waumini, ila nikienda kutaka fanya sherehe hapo lazima nilipe no discount!

Ubatili!
 
Mimi natoa sadaka na zaka tu,,,,nikihitaji kujitolea zaidi naenda kwa wasiojiweza ! Michango mingine sitoi kabisa,,,,
 
Huwez Amin still church ipo vile vile wamejenga tu new washroom na sehemu ya kulala mafather๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ’”
Inawezekana washirika ni maskini wanachanga elfu elfu zinaishia kwenye gharama za uendeshaji wa maisha ya mchungaji, nabii au mtume, askofu nk๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Inawezekana washirika ni maskini wanachanga elfu elfu zinaishia kwenye gharama za uendeshaji wa maisha ya mchungaji, nabii au mtume, askofu nk๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Mmh apana haiwezekani sio kwa goba yetu
 
Ukitaka utajiri wa haraka hakikusha unakua m KKKT halafu jitahidi sana uingizwe kwenye kamari sorry kamati ya fedha/uchumi/maendeleo.
Hakikisha unasali Kariakoo/Msasani/Mbezi beach/ Tegeta/
Wazo/hata Kimara hutakosa pesa ndogo ndogo za kubadilisha mboga na beer mbili.
 
Nakumbuka Kuna kanisa tangu nimezaliwa Tena mom kaniambia Tena before wapo wanatoa michango ya kujenga kanisa saiv na ukubwa wangu huu Bado lipo vile vile ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ’”

KKKT KIMARA KOROGWE TANGU NAZALIWA LINAJENGWA TU , NA MPAKA LEO HII NINA MIAKA ZAIDI YA 30 BADO LINAJENGWA TU
 

Nina dada yangu yupo kamati ya manunuzi kwenye usharika fulani wa KKKT, amenunua mpaka gari huku ni jobless tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ