Mmakonde umenikera huko Rwanda

Mmakonde umenikera huko Rwanda

Koh Koh Koh yow yoow konde boi ko mi namba waani baaresaa aaah
 
Walau lugha wanazochanganya wanazijua kwa ufasaha sasa broken ya konde si ni aibu,,

hapa ndio tunakuja kufahamu ukweli kwamba wabongo wengi kiingereza cha ufasaha wanafahamu wachache
 
1673702556396.jpg
 
hapa ndio tunakuja kufahamu ukweli kwamba wabongo wengi kiingereza cha ufasaha wanafahamu wachache
Zipo nchi nyingi tu wananchi hawajui kingereza, lakini wanajiamini
na wanaendelea vizuri tu kwahiyo kutojua hiyo lugha haikufanyi kuwa mjinga
 
Katika wasanii wajjnga Tanzania Mmakonde ni mjinga kuliko wote....Dogo anavimba sana nilijua akija mjini atabadilika lakini wapiiiii?
 
Angejua watoto wa kitutsi wanavyopenda kiswahili angewazoa km kumbikumbi yani, kuna mdada mmoja wa huko alikuwa shosti yangu alinambia anapenda sana kiswahili na hasa neno 'nakupenda' likitamkwa na mwanaume wa kitz analowa kabisaaa😂😂nilishangaa sana,
Aisee hapo umetupiga na kitu kizito🤣🤣
 
Katika wasanii wajjnga Tanzania Mmakonde ni mjinga kuliko wote....Dogo anavimba sana nilijua akija mjini atabadilika lakini wapiiiii?
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Rwanda wanaongea lugha zifuatazo kinyarwanda, kifaransa, kiingereza na kiswahili na kiganda, sasa kwa sababu wana interaction sana na Tanzania walijikuta wengi wanaongea kiswahili tena ni lugha wanayoipenda hadi mashuleni wameenza kusomeshwa miaka mingi tu, tatizo la watanzania na wasanii wetu wengi elimu ya lugha hawana hivo codemixing and code switching kwao ni kawaida bila kufahamu wanaathiri maana ya mazungumzo, ukiamua kuongea kiingereza ongea chenyewe tu na ukiamua kuongea kiswahili tumia chenyewe tu ndio ustaarabu kwenye lugha,
Kiganda ndio lugha gani??? maana hao waganda wenyewe hawana lugha yao moja wana kinyankole kinachafanana na kinyarwanda, wana kitoro, kibaganda, kiacholi n.k .... Hakuna lugha ya kiganda...hili tango pori.
 
Mie huyu jamaa Konde boy nilikua namkubali sana ila baadae nimekuja gundua ni bonge la mshamba fulani. Anababaika sana kwa mambo madogo, yaani ni bonge la mshamba na inawezekana mjini kaja na mbio za mwenge.
 
Saka Noti Mambo ya was a nii waa chie wenye we
 
Back
Top Bottom