Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walau lugha wanazochanganya wanazijua kwa ufasaha sasa broken ya konde si ni aibu,,
Zipo nchi nyingi tu wananchi hawajui kingereza, lakini wanajiaminihapa ndio tunakuja kufahamu ukweli kwamba wabongo wengi kiingereza cha ufasaha wanafahamu wachache
Aisee hapo umetupiga na kitu kizito🤣🤣Angejua watoto wa kitutsi wanavyopenda kiswahili angewazoa km kumbikumbi yani, kuna mdada mmoja wa huko alikuwa shosti yangu alinambia anapenda sana kiswahili na hasa neno 'nakupenda' likitamkwa na mwanaume wa kitz analowa kabisaaa😂😂nilishangaa sana,
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Katika wasanii wajjnga Tanzania Mmakonde ni mjinga kuliko wote....Dogo anavimba sana nilijua akija mjini atabadilika lakini wapiiiii?
Kiganda ndio lugha gani??? maana hao waganda wenyewe hawana lugha yao moja wana kinyankole kinachafanana na kinyarwanda, wana kitoro, kibaganda, kiacholi n.k .... Hakuna lugha ya kiganda...hili tango pori.Rwanda wanaongea lugha zifuatazo kinyarwanda, kifaransa, kiingereza na kiswahili na kiganda, sasa kwa sababu wana interaction sana na Tanzania walijikuta wengi wanaongea kiswahili tena ni lugha wanayoipenda hadi mashuleni wameenza kusomeshwa miaka mingi tu, tatizo la watanzania na wasanii wetu wengi elimu ya lugha hawana hivo codemixing and code switching kwao ni kawaida bila kufahamu wanaathiri maana ya mazungumzo, ukiamua kuongea kiingereza ongea chenyewe tu na ukiamua kuongea kiswahili tumia chenyewe tu ndio ustaarabu kwenye lugha,
Saka Noti Mambo ya was a nii waa chie wenye weMie huyu jamaa Konde boy nilikua namkubali sana ila baadae nimekuja gundua ni bonge la mshamba fulani. Anababaika sana kwa mambo madogo, yaani ni bonge la mshamba na inawezekana mjini kaja na mbio za mwenge.
NinakugawaUmekereka kwa sababu ulitegemea aongee kiswahili ili na wewe uelewe ila haijatokea hivo. No mara waa, .