Mmakonde umenikera huko Rwanda

Koh Koh Koh yow yoow konde boi ko mi namba waani baaresaa aaah
 
Walau lugha wanazochanganya wanazijua kwa ufasaha sasa broken ya konde si ni aibu,,

hapa ndio tunakuja kufahamu ukweli kwamba wabongo wengi kiingereza cha ufasaha wanafahamu wachache
 
hapa ndio tunakuja kufahamu ukweli kwamba wabongo wengi kiingereza cha ufasaha wanafahamu wachache
Zipo nchi nyingi tu wananchi hawajui kingereza, lakini wanajiamini
na wanaendelea vizuri tu kwahiyo kutojua hiyo lugha haikufanyi kuwa mjinga
 
Katika wasanii wajjnga Tanzania Mmakonde ni mjinga kuliko wote....Dogo anavimba sana nilijua akija mjini atabadilika lakini wapiiiii?
 
Aisee hapo umetupiga na kitu kizito🤣🤣
 
Katika wasanii wajjnga Tanzania Mmakonde ni mjinga kuliko wote....Dogo anavimba sana nilijua akija mjini atabadilika lakini wapiiiii?
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Kondeeee boooiii 😂😂😂😂😂
 
Kiganda ndio lugha gani??? maana hao waganda wenyewe hawana lugha yao moja wana kinyankole kinachafanana na kinyarwanda, wana kitoro, kibaganda, kiacholi n.k .... Hakuna lugha ya kiganda...hili tango pori.
 
Mie huyu jamaa Konde boy nilikua namkubali sana ila baadae nimekuja gundua ni bonge la mshamba fulani. Anababaika sana kwa mambo madogo, yaani ni bonge la mshamba na inawezekana mjini kaja na mbio za mwenge.
 
Saka Noti Mambo ya was a nii waa chie wenye we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…