Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,313
- 4,751
Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.