MMB kinaweza kikawa ndiyo chama kikuu cha upinzani Tanzania 2025

Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!

Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.

Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.

Cdm ni brand boss.
 
Walitimuliwa kina kaburu hawakufika kokote,zito yeye aliambulia ubunge wake pekee...itakua hao wasaliti
 
Sawa mkuu, na sijasema popote kwamba upinzani ni kupinga kila kitu mkuu,

Wewe umechagua chama tawala good for you, tunachokosoa ni kucheza na fikra za watu kwa kutengeneza upinzani fake, hapa ndipo tatizo linapoanzia, kama tumekubali kuwa na katiba inayokubali vyama vingi basi tuvipe Uhuru wakweli wa kufanya mambo yao, bila kuvivuruga kwa kupandikiza mamluki wa chama tawala na tiss, that isn't fair at all,i mpinxani
Mtu kama wewe ambaye kwa standard zako ni mpinzani, iweje ukubali kuwa mamluki?

Hao wabunge 19 wote ni makamanda tema viongozi waandamizi na wengine wa muda mrefu, iweje wakubali kurubuniwa kama kweli wanarubuniwa? Katika siasa mtu anazidi kukomaa jinsi siku zinavyoenda hivyo hufika wakati akaelimika na kuona baadhi ya mambo aliyoyaamini awali sio sahihi au kwa mazingira ya wakati husika sio sahihi.

Hivyo tusilaumu CCM wala serikali kwa maamuzi yaliyofanywa na wanachama wenu tena waandamizi kwa baraka za vìongozi wakuu wa chama.
 
Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!

Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.

Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.
Haya mautabiri ni kama yale ya washabiki wa simba kusema lazima Yanga apigwe na Azam! Ni matamanio tu uliyo kuwa nayo, na hayatatimia! Kwa taarifa yako, Wanawake wote 20 wa CHADEMA, watamalizana na chama kwa unyenyekevu mkubwa, na itakua silaha ya maangamizi kwa ccm!
 
Mkuu hawataruhusiwa kuanzisha chama cha wanawake.
Hawaanzishi chama cha wanawake. Wataanzisha chama cha siasa kitakacho endeshwa na wanawake nguli wa siasa za upinzani.

Fikiria mwaka 2025 kwenye chama hiki: Mgombea urais atakuwa mwanamke, mgombea mwenza mwanamke, kamati ya kampeni warembo kibao, wasanii wa kampeni warembo wa nguvu nk. Hapo hakuna cha kulalamika kuibiwa au kuiba kura. Tutaweka historia ya dunia!!

Serikali watakayoiunda itabidi viti maalum viwe kwa ajili ya wanaume ili ku balance gender!

Kati ya wabunge 264 wa majimbo, 250 watakuwa ni wakina mama kutoka chama hiki. Akina Mnyika wakitaka kuwa wabunge itabidi wapitishwe na chama kama wabunge wa viti maalum. Huu ndiyo utakuwa ukombozi wa wanawake. Hakuna namna nyingine.
 
Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!

Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.

Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.
Wewe Lipumba kafika wapi baada ya nyie CCM kumbeba dhidi ya Maalim Seif Sharifu Hamad ? Ungependa iwe hivyo wewe kama wewe , lakini haitokuwa hivyo think tank uchwara wa hapo Lumumba umechemka .
 
Ngoja Kwanza tuone kesho itakuwaje,walipelekwa au walijipeleka wenyewe bungeni ndio nami nitatia neno
Nalog off
 
Kati ya wabunge 264 wa majimbo, 250 watakuwa ni wakina mama kutoka chama hiki. Akina Mnyika wakitaka kuwa wabunge itabidi wapitishwe na chama kama wabunge wa viti maalum. Huu ndiyo utakuwa ukombozi wa wanawake. Hakuna namna nyingine.
Wewe ni KE au ME ?
 
Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!

Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.

Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.

Hao sio maarufu nje ya chadema
 
Back
Top Bottom