Una akili,
Nyerere aliwahi kusema, "mnadhani kuwa na vyama Vingi ndio kuwa na Demokrasi?! Mobutu alikuwa na vyama zaidi ya mia moja, lakini vyama vyote vilikuwa vya Mobutu!"
Maneno hayo ya Mwl. Nyerere yalikuwa na maana kubwa, kuanzia Mrema, akina mabere Marando, lamwai,mbatia , lipumba, sharrif, slaa, Lowassa, Membe, wote hawa walitokea CCM kwa mission maalum
Tanzania hakuna upinzani, kuna mamluki wa chama tawala wanaoigiza kama upinzani, kuna mikono ya TISS, hata TPDF,
Upinzani wakweli hakuna kamwe, kilichopo ni kiini macho na michezo ya kuigiza kama upinzani.