Una akili,Hata NMB igeuke iwe chama pinzani kuwatoa CCM ni ndoto za mchana...
Weka Tume huru...CCM inakufa pamoja na hao afisa vipeoUna akili,
Nyerere aliwahi kusema, "mnadhani kuwa na vyama Vingi ndio kuwa na Demokrasi?! Mobutu alikuwa na vyama zaidi ya mia moja, lakini vyama vyote vilikuwa vya Mobutu!"....
Nani wa kumfunga paka kengele mkuu?!Weka Tume huru...CCM inakufa pamoja na hao afisa vipeo
Mabeberu ndio watakao weka watake wasitakeNani wa kumfunga paka kengele mkuu?!
CCM watakubali kuweka hiyo Tume huru ili iwaue wenyewe?! Hawana akili?!
Na wakikubali kuweka kuwa mwangalifu, wataigiza tu, kuweka mamluki kama wanavyoingiza kuwa na vyama vya upinzani kumbe ni wao hao!
Hivi bado tu kuna watu hamjauelewa mchezo mzima? Hakuna atakayewafukuza maana wenye mamlaka ya kuwafukuza ndio hao hao waliowatuma waende bungeni, tofauti tu ni kwamba wamepewa ushirikiano mkubwa na mihimili. Sasa kama wewe unadhani hao ni wasaliti, endelea kusubiri uone kama watafukuzwaMdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa chadema, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Mwaka huu hakukuwa nna uchaguzi ,tumia kiashiria kingine kujenga hoja yakoMdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa chadema, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!...
Kweli kabisa ni maigizo.ni sawa na move ya ramboUna akili,
Nyerere aliwahi kusema, "mnadhani kuwa na vyama Vingi ndio kuwa na Demokrasi?! Mobutu alikuwa na vyama zaidi ya mia moja, lakini vyama vyote vilikuwa vya Mobutu!"
Maneno hayo ya Mwl. Nyerere yalikuwa na maana kubwa, kuanzia Mrema, akina mabere Marando, lamwai,mbatia , lipumba, sharrif, slaa, Lowassa, Membe, wote hawa walitokea CCM kwa mission maalum
Tanzania hakuna upinzani, kuna mamluki wa chama tawala wanaoigiza kama upinzani, kuna mikono ya TISS, hata TPDF,
Upinzani wakweli hakuna kamwe, kilichopo ni kiini macho na michezo ya kuigiza kama upinzani.
Kama CCM hasa hii yenye serekali isoyo fuata sheria, ikiwapa go ahead ni sekunde tu wanakuwa.Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa chadema, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa chadema aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Benard Mwembe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka chadema, na wakaanzisha chama chao, hata ccm inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. Chadema itabaki kwenye historia.
Watapata watu mazuzu tu maana tushawajua akili zao. Katika kipindi walichojivua nguo ni kipindi hiki.Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa chadema, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa chadema aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Benard Mwembe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka chadema, na wakaanzisha chama chao, hata ccm inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. Chadema itabaki kwenye historia.
Well noted.Hii ni nafasi nzuri kwa wanawake wapya kujitokeza.Kuna wanawake wa chadema wengi mno,Nenda kule Tunduma,Nenda mbeya kuna wanawake wa shoka uko wakiwezesha nafasi watafanya vizuri kuliko huyo sauti ya fisi
Wewe kweli mchicha pori.Hata NMB igeuke iwe chama pinzani kuwatoa CCM ni ndoto za mchana.
Watanzania mpaka sasa hamjajifunza tu siasa ni movie, siasa ni michongo na inapangwa na watu kabisa, yaani ni scripts, directors ni wakubwa wa vyama wakati wapenzi watizamaji ni watanzania.
Ukitizama movie ya kuhuzunisha na wewe mtizamaji unapata huzuni kama uhalisia, kumbe ni movie, same to politics.
Movie inaendelea...Enjoy...
Ha ha ha.. Afu unajiita AkiliKura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.