Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Waanzishe tu lakin wafutwe kwanza CHADEMAMdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Benard Mwembe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka chadema, na wakaanzisha chama chao, hata ccm inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. Chadema itabaki kwenye historia.
Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Benard Mwembe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka chadema, na wakaanzisha chama chao, hata ccm inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. Chadema itabaki kwenye historia.
Wakishajulikana kuwa ni mamluki wa ccm, chama chao kitakuwa kama cuf au Tlp. Hakitokuwa na tija.Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Wakati ni ukuta. Muda ukifika hakuna namna. Siyo suala la wao kukubali, bali kulazimikaCCM watakubali kuweka hiyo Tume huru ili iwaue wenyewe?! Hawana akili?!
Itakuwa mwaka 2100, let wait and see,Wakati ni ukuta. Muda ukifika hakuna namna. Siyo suala la wao kukubali, bali kulazimika
2025 uhuni hautokuwa na nafasi kamwe. Watu washachokaItakuwa mwaka 2100, let wait and see,
Anzisha wewe upinzani wa kweli! Unataka nani akuanzishie?Una akili,
Nyerere aliwahi kusema, "mnadhani kuwa na vyama Vingi ndio kuwa na Demokrasi?! Mobutu alikuwa na vyama zaidi ya mia moja, lakini vyama vyote vilikuwa vya Mobutu!"
Maneno hayo ya Mwl. Nyerere yalikuwa na maana kubwa, kuanzia Mrema, akina mabere Marando, lamwai,mbatia , lipumba, sharrif, slaa, Lowassa, Membe, wote hawa walitokea CCM kwa mission maalum
Tanzania hakuna upinzani, kuna mamluki wa chama tawala wanaoigiza kama upinzani, kuna mikono ya TISS, hata TPDF,
Upinzani wakweli hakuna kamwe, kilichopo ni kiini macho na michezo ya kuigiza kama upinzani.
Hivi tume huru unaipata vipi? Tuanzie hapa kwanza.Weka Tume huru...CCM inakufa pamoja na hao afisa vipeo
Upuuzi gani huu. Yaani hapo unaona umeandika kitu cha maana? Huu upuuzi ndio uwe tishio kwa ccm?Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Benard Mwembe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka chadema, na wakaanzisha chama chao, hata ccm inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. Chadema itabaki kwenye historia.
Hata ukianzisha mkuu, lazima Tiss watakuingizia mamluki wakuvuruge mpaka uvurugike,Anzisha wewe upinzani wa kweli! Unataka nani akuanzishie?
Huna tofauti na lile tundu la kutolea haja kubwa.. Aliyebeba kiwiliwili chako miezi tisa amepata hasara.Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.
Hapa ndipo mnapofeli, mabeberu hawatapata nafasi ya kuleta tume huru, mnatakiwa kujifunza mambo ya foreign policy. Sahau wazungu kuja kuingilia siasa za Tanzania 🇹🇿 haitatokea.Uchaguzi wa mwaka huu mlisema eti dunia inafuatilia kwa karibu lakini matokeo ya EU ndiyo nao wamebaki kupost vipeperushi kwenye mitandao2025 kutakuwa na Tume huru..mabeberu wanaleta mageuzi makubwa
KITAMBO sijasoma michango kama hii.. kongole, una haki ya kuwa na makende mkuu. Umenikosha[emoji41]Una akili,
Nyerere aliwahi kusema, "mnadhani kuwa na vyama Vingi ndio kuwa na Demokrasi?! Mobutu alikuwa na vyama zaidi ya mia moja, lakini vyama vyote vilikuwa vya Mobutu!"
Maneno hayo ya Mwl. Nyerere yalikuwa na maana kubwa, kuanzia Mrema, akina mabere Marando, lamwai,mbatia , lipumba, sharrif, slaa, Lowassa, Membe, wote hawa walitokea CCM kwa mission maalum
Tanzania hakuna upinzani, kuna mamluki wa chama tawala wanaoigiza kama upinzani, kuna mikono ya TISS, hata TPDF,
Upinzani wakweli hakuna kamwe, kilichopo ni kiini macho na michezo ya kuigiza kama upinzani.
Mkuu hawataruhusiwa kuanzisha chama cha wanawake.Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.
Miaka yote wanasemaga hivyo hivyo mkuu, tangu mwaka 1995 mpaka Leo 2020, au wewe ni mgeni mkuu?!2025 uhuni hautokuwa na nafasi kamwe. Watu washachoka
Upinzani maana yake sio kupinga kila kitu au kukataa ukweli kama vinavyofanya hivi vyama viwili. Angalia nchi za ulaya serikali ikifanya jambo zuri inapongezwa na kuungwa mkono.Hata ukianzisha mkuu, lazima Tiss watakuingizia mamluki wakuvuruge mpaka uvurugike,
Upinzani Tanzania haupo wala hautawahi kuwepo kamwe labda itokee overthrow of military coup!
Sawa mkuu, na sijasema popote kwamba upinzani ni kupinga kila kitu mkuu,Upinzani maana yake sio kupinga kila kitu au kukataa ukweli kama vinavyofanya hivi vyama viwili. Angalia nchi za ulaya serikali ikifanya jambo zuri inapongezwa na kuungwa mkono.
Watanzania wanaojielewa hatuwezi kuunga mkono ulaghai na wizi uliojificha katika koti la upinzani.