Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.
Walitimuliwa kina kaburu hawakufika kokote,zito yeye aliambulia ubunge wake pekee...itakua hao wasalitiMdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.
Mtu kama wewe ambaye kwa standard zako ni mpinzani, iweje ukubali kuwa mamluki?Sawa mkuu, na sijasema popote kwamba upinzani ni kupinga kila kitu mkuu,
Wewe umechagua chama tawala good for you, tunachokosoa ni kucheza na fikra za watu kwa kutengeneza upinzani fake, hapa ndipo tatizo linapoanzia, kama tumekubali kuwa na katiba inayokubali vyama vingi basi tuvipe Uhuru wakweli wa kufanya mambo yao, bila kuvivuruga kwa kupandikiza mamluki wa chama tawala na tiss, that isn't fair at all,i mpinxani
Haya mautabiri ni kama yale ya washabiki wa simba kusema lazima Yanga apigwe na Azam! Ni matamanio tu uliyo kuwa nayo, na hayatatimia! Kwa taarifa yako, Wanawake wote 20 wa CHADEMA, watamalizana na chama kwa unyenyekevu mkubwa, na itakua silaha ya maangamizi kwa ccm!Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.
Hawaanzishi chama cha wanawake. Wataanzisha chama cha siasa kitakacho endeshwa na wanawake nguli wa siasa za upinzani.Mkuu hawataruhusiwa kuanzisha chama cha wanawake.
Hahahaha kumbe tumeona wengiHa ha ha.. Afu unajiita Akili
Wewe Lipumba kafika wapi baada ya nyie CCM kumbeba dhidi ya Maalim Seif Sharifu Hamad ? Ungependa iwe hivyo wewe kama wewe , lakini haitokuwa hivyo think tank uchwara wa hapo Lumumba umechemka .Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki imeonekana. Wanasiasa maarufu kama Maalim Seifu na Bernard Membe wamekimbilia huko. Kura nyingi alizozipata Tundu Lissu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetokana na nguvu ya chama hiki cha Zitto.
Ikitokea tena hawa MMB wakatimuliwa kutoka CHADEMA, na wakaanzisha chama chao, hata CCM inaweza ikayumba. Usichezee nguvu ya akina mama! Stay tuned: chama kikuu cha upinzani kipya Tanzania kiko mbioni kuja 2025. CHADEMA itabaki kwenye historia.
Wewe ni KE au ME ?Kati ya wabunge 264 wa majimbo, 250 watakuwa ni wakina mama kutoka chama hiki. Akina Mnyika wakitaka kuwa wabunge itabidi wapitishwe na chama kama wabunge wa viti maalum. Huu ndiyo utakuwa ukombozi wa wanawake. Hakuna namna nyingine.
Weka Tume huru...CCM inakufa pamoja na hao afisa vipeo
Never say "NEVER"Upinzani Tanzania haupo wala hautawahi kuwepo kamwe