Mmea huu ni kiboko kwa wote wenye ndonda na bawasili

barnabas masoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
1,298
Reaction score
659
Habari wakuu,

Leo tena nawaletea ujuzi mwingine ni mdogo sana,lakini kwa vile inawasumbua sana watu

Ugonjwa wa bawasiri maarufu ndonda kwa sasa naona imekuwa changamoto sana kwa watu wengi sana kwa sasa.

Kwa mmea huu ukifanikiwa kuupata haijalishi umeugua kwa muda gani, au sugu kiasi gani pale unapoaanza kutumia hapo hapo majibu yanaonekana hapa haijalishi ni ya nje au ndani.

Tiba hii wengi hupenda kuuita bomba
Sababu unaitaji bomba la sindano baada ya kuifikinya na kubaki maji unaweka kwenye chombo na kuongeza maji kidogo unayavuta kwenye bomba la sindano
Kisha inaingizwa kupitia njia ya haja kubwa
0753224347 kwa maelezo zaidi ukifanikiwa kuupata mmea huo

 
Inatibu au ni biashara tu
 
Mimi nnatatizo lakini sijajuwa ninini nakunywa Damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…