Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
Na ukichanganya na maji kidogo haifai mkuu?Yaweza kuwa ni dawa kweli, maana unatibu hata vidonda vya masikioni.
Unapikicha unakamua yale majimaji unadondoshea tone masikioni, vidonda 'kau'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukichanganya na maji kidogo haifai mkuu?Yaweza kuwa ni dawa kweli, maana unatibu hata vidonda vya masikioni.
Unapikicha unakamua yale majimaji unadondoshea tone masikioni, vidonda 'kau'
Hyo nakufundisha ukiweza ujitibu mkuu wewe mwenyewe nagawa maarifaInatibu au ni biashara tu
Maji hapana, majani menyewe ukiyapikicha halafu unakamua, yanatoa mchuzi flani amazing.Na ukichanganya na maji kidogo haifai mkuu?
Ndioo au mkarifyaHuo si mgagani?
Mkalifya
Asante kwa wazo mkuu huenda wakaliona wahusikaSasa utaalamu kama huu halafu unakuta serikali inatumia mabilioni kuagiza hadi dawa za magonjwa ambayo tungeyatibia kiasili tu hapahapa, ndio maana huu urithi mzuri (sio tunguli) unapotea, hizo hela wangepata na hawa tungepata na sisi wachina wetu hapa, hawa maprofesa wa hizi wizara ndio walewale wa PHD za kupewapewa elimu yao hata ubunifu mdogo tu unawashinda.
Nunua dawa magonjwa yaliyoshindikana hapa kwa tiba za asili , mengine yanayotibika toa pesa watz walime na kuwauzia wataalam wa tiba ssili, ili vitengo vya tiba asili navyo vipate mzunguko wa pesa wakafanyie utafiti na kujiendeleza zaidi.
aisee kwa hiyo madereva wa daladala wajiandae kisaikolojiaKama wewe ni dereva au mkaa mda mrefu ofisini,au mkaa chooni na kutumia nguvu Sana kupush aisee ukifa age 60 kuendelea huu ugonjwa hauepukiki,labda kama kinga ipo
Waweza itumia kama kinga kila baada ya miezi mitatuKama wewe ni dereva au mkaa mda mrefu ofisini,au mkaa chooni na kutumia nguvu Sana kupush aisee ukifa age 60 kuendelea huu ugonjwa hauepukiki,labda kama kinga ipo
Asante kwa ushuhuda mkuuNikweli unatibu alaka Sanaa mgagani
Ni dawa pia sasa mkuuHiyo n mboga mgagan huo masokon uko wakutosha
Inabidi sasa kuamini nicheki 0753224347 nkupe maelekezo jinsi ya kuifanya dawa kisha ulete ushuhuda hapa mkuuKama ni mgagani siamin kama ni kwelii unatibu
Hyo haunywi mkuu kwa maelekezo piga namba hyoHamna ya kunywa.. ?
Tafuta hayo majani yake utengane na tatizo hilo mkuuMimi nnatatizo lakini sijajuwa ninini nakunywa Damu
Duh!!!,Sisi tunaofanya kazi za kukaa kwa muda mrefu tuna hatari sana Kumbe!!!Kama wewe ni dereva au mkaa mda mrefu ofisini,au mkaa chooni na kutumia nguvu Sana kupush aisee ukifa age 60 kuendelea huu ugonjwa hauepukiki,labda kama kinga ipo
Ukipenda mada za kula kula lazima upende na mada za kunya kunya.Mada ya kunyakunya. Thread ya kinyaaa
Sisi wazee wa vitini mda mrefu muhimuWaweza itumia kama kinga kila baada ya miezi mitatu