Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Fanya uende hospitali MkuuMimi nnatatizo lakini sijajuwa ninini nakunywa Damu
Kunya damu sio sababu ya bawasiri, kuna magonjwa zaidi ya matatu yanayopelekea kutoka damu kwenye njia ya haja kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya uende hospitali MkuuMimi nnatatizo lakini sijajuwa ninini nakunywa Damu
Bomba ndiyo itakufanya upone harakaHamna ya kunywa.. ?
Hamna ya kunywa.Hamna ya kunywa.. ?
Wacha tu niendelee kusubiri mpaka ipatikane ya kunywa...Hamna ya kunywa.
Lazima udungwe.
Usiogope haiumi.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
HahahaaaaWacha tu niendelee kusubiri mpaka ipatikane ya kunywa...
Unaifahamu vizuri.!? Unifahamishe niipate aseesafi sana iyo kitu
Maeneo gani naweza ipata hii kitu mkuu..!??Maji hapana, majani menyewe ukiyapikicha halafu unakamua, yanatoa mchuzi flani amazing.
Iringa nyingi sanaMaeneo gani naweza ipata hii kitu mkuu..!??
Asee mimi mjini Dar, ntaupata kweli..!??Iringa nyingi sana
Nimecheka sana aisee. We Jamaa ni muoga hata dhidi yako mwenyeweHamna ya kunywa.. ?
InapatikanaAsee mimi mjini Dar, ntaupata kweli..!??
vinatibu nnTafuta mmea jamii ya Euphorbia Prostrata, ama tafuta vidonge na gel yake katika maduka ya dawa baridi, tumia.
Anatunza marinda hahaNimecheka sana aisee. We Jamaa ni muoga hata dhidi yako mwenyewe
Shukran sana kwa hii dawa.
Na vipi tiba asilia ya ugonjwa wa fangas na muwasho wa ukeni kwa ndani...
Shukran sana mkuu.Usafi,Ajikaushe vizur na kuacha kuvaa nguo za ndani zenye unyevu!