Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,069
- 3,516
Usafi,Ajikaushe vizur na kuacha kuvaa nguo za ndani zenye unyevu!
Pia aache kutumia sabuni kali uko chini kama anatumia maana hua zinaua bakteria asilia wa huko, apendelee mtindi pia nasikia nimzuri pia! Dawa aende hospital asije akatumia dawa zikaja kumuharib kizaz!