Mmea huu ni kiboko kwa wote wenye ndonda na bawasili

Mmea huu ni kiboko kwa wote wenye ndonda na bawasili

Ila nmeshangaa sokoni wanauza kama mboga..cjui wanaipikaje kwa kwel
Hii nadhani baadhi ya makabila wanaita sungwe ni chungu kweli ila upikaji wake lazma uichemshe kisha unamwaga maji ulochemshia hapo unaweza iunga ikabaki na uchungu kwa mbali mi naipenda sana ukipika na ugali ni Tamu balaa!!
 
Ni ule wa kuota vinyama mkunduni kwa ndani kidogo, vinaota vinatokeza hadi nje.
Wakati wa haja kubwa ni mateso tu.
Aisee, je hutokea kwa jinsia zote? Nimeuliza hivyo kwani nimekumbuka kuona kitu kama hicho sehemu ila sikuelewa. Je kama mtu asipojitibu kwa muda mrefu kuna madhara yeyote?
 
Hii nadhani baadhi ya makabila wanaita sungwe ni chungu kweli ila upikaji wake lazma uichemshe kisha unamwaga maji ulochemshia hapo unaweza iunga ikabaki na uchungu kwa mbali mi naipenda sana ukipika na ugali ni Tamu balaa!!
Sio sungwe mkuu wanaita mkalifwa wengine
 
habari
Wakuu
Leo tena nawaletea ujuzi mwingine ni mdogo sana,lakini kwa vile inawasumbua sana watu
Ugonjwa wa bawasiri maarufu ndonda kwa sasa naona imekuwa changamoto sana kwa watu wengi sana kwa sasa
Kwa mmea huu ukifanikiwa kuupata haijalishi umeugua kwa muda gani,au sugu kiasi gani pale unapoaanza kutumia hapo hapo majibu yanaonekana hapa haijalishi ni ya nje au ndani.

Tiba hii wengi hupenda kuuita bomba
Sababu unaitaji bomba LA sindano baada ya kuifikinya na kubaki maji unaweka kwenye chombo na kuongeza maji kidogo unayavuta kwenye bomba LA sindano
Kisha inaingizwa kupitia njia ya haja kubwa
0753224347 kwa maelezo zaidi ukifanikiwa kuupata mmea huoView attachment 2048376View attachment 2048381View attachment 2048382
Mgagani
 
Aisee, je hutokea kwa jinsia zote? Nimeuliza hivyo kwani nimekumbuka kuona kitu kama hicho sehemu ila sikuelewa. Je kama mtu asipojitibu kwa muda mrefu kuna madhara yeyote?
Kwa wote mkuu...enyewe mimi hapa inakaribia kupona kabisa
 
Back
Top Bottom