Mmea huu ni kiboko kwa wote wenye ndonda na bawasili

Sasa utaalamu kama huu halafu unakuta serikali inatumia mabilioni kuagiza hadi dawa za magonjwa ambayo tungeyatibia kiasili tu hapahapa, ndio maana huu urithi mzuri (sio tunguli) unapotea, hizo hela wangepata na hawa tungepata na sisi wachina wetu hapa, hawa maprofesa wa hizi wizara ndio walewale wa PHD za kupewapewa elimu yao hata ubunifu mdogo tu unawashinda.
Nunua dawa magonjwa yaliyoshindikana hapa kwa tiba za asili , mengine yanayotibika toa pesa watz walime na kuwauzia wataalam wa tiba ssili, ili vitengo vya tiba asili navyo vipate mzunguko wa pesa wakafanyie utafiti na kujiendeleza zaidi.
 
Asante kwa wazo mkuu huenda wakaliona wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…