Mmea huu ni kiboko kwa wote wenye ndonda na bawasili

Ila nmeshangaa sokoni wanauza kama mboga..cjui wanaipikaje kwa kwel
Hii nadhani baadhi ya makabila wanaita sungwe ni chungu kweli ila upikaji wake lazma uichemshe kisha unamwaga maji ulochemshia hapo unaweza iunga ikabaki na uchungu kwa mbali mi naipenda sana ukipika na ugali ni Tamu balaa!!
 
Ni ule wa kuota vinyama mkunduni kwa ndani kidogo, vinaota vinatokeza hadi nje.
Wakati wa haja kubwa ni mateso tu.
Aisee, je hutokea kwa jinsia zote? Nimeuliza hivyo kwani nimekumbuka kuona kitu kama hicho sehemu ila sikuelewa. Je kama mtu asipojitibu kwa muda mrefu kuna madhara yeyote?
 
Hii nadhani baadhi ya makabila wanaita sungwe ni chungu kweli ila upikaji wake lazma uichemshe kisha unamwaga maji ulochemshia hapo unaweza iunga ikabaki na uchungu kwa mbali mi naipenda sana ukipika na ugali ni Tamu balaa!!
Sio sungwe mkuu wanaita mkalifwa wengine
 
Mgagani
 
Aisee, je hutokea kwa jinsia zote? Nimeuliza hivyo kwani nimekumbuka kuona kitu kama hicho sehemu ila sikuelewa. Je kama mtu asipojitibu kwa muda mrefu kuna madhara yeyote?
Kwa wote mkuu...enyewe mimi hapa inakaribia kupona kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…