Mmea huu ni kiboko kwa wote wenye ndonda na bawasili

Tafuta mmea jamii ya Euphorbia Prostrata, ama tafuta vidonge na gel yake katika maduka ya dawa baridi, tumia.
 
Shukran sana kwa hii dawa.
Na vipi tiba asilia ya ugonjwa wa fangas na muwasho wa ukeni kwa ndani...
 
Shukran sana kwa hii dawa.
Na vipi tiba asilia ya ugonjwa wa fangas na muwasho wa ukeni kwa ndani...

Usafi,Ajikaushe vizur na kuacha kuvaa nguo za ndani zenye unyevu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…