MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Hakuna Mwanaume Malaya ila lijali, we mtibeli wa wapi?Wewe ni malaya,Watibeli hawageuzi main chick to side chick.Ukipiga chini piga mazima acha umalaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Mwanaume Malaya ila lijali, we mtibeli wa wapi?Wewe ni malaya,Watibeli hawageuzi main chick to side chick.Ukipiga chini piga mazima acha umalaya
Safi, uanaume ndo huu sasaIlinitokea enzi za ujana bi dada mmoja ilikuwa kila tukikwazana anakimbilia aidha kwenda kwao ama kutishia kwenda kwao.
Ilitokea siku moja tukazinguana akasepa. Kawaida ilikuwa namfuata kumbembeleza. Safari hiyo sikumfuata nikaa kimya.
Baada ya muda akawa anatuma rafiki yake aje kuangalia kama nina mtu.
Kilichotokea yule rafiki yake ndio akawa mtu mwenyewe.
Alipokuja kuamua kurudi alikuta rafiki yake ndio mwenye nyumba.
Akatoka kuwa main chic mpaka side chic kwa upumbavu wake.
It takes one to know the other.Wewe ni malaya,Watibeli hawageuzi main chick to side chick.Ukipiga chini piga mazima acha umalaya
Eti kukupa mbususu hadi apange ratiba ama kwa kujisikia, fukuza. Hakuja kwako kwa show wala kula.
Inakuwa ngumu kufukuza kwasabb mbalimbali.
Mifano:-
1. Akiwa na katoto kachanga akikuachia utateseka nako mpk ujivue utibeli.
2. Kama una hela ya mawazo akaamua mgawane kiwanja ama kitanda mlichokinunua pamoja utajua kuwa wewe siyo mtibeli tena.
3. Ukifukuza mlevi atakayekuja anaweza kuwa teja. Ukifukuza katili anayekuja anaweza kuwa muuaji.
Ndiyo maana wenye akili wanaishi nao kwa akili
Wangu ananitishia muda wote kuondoka na nilivyo bwege nambembeleza, naapa kuanzia sasa akiniletea ujinga nafukuza nimeshaelimiswa na mtibelia
Ushamaliza