Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
b3d981f4-d3b0-4cc8-8fb1-76e0733ac561.jpeg
48bfccc9-3785-45bf-860a-d8752555345f.jpeg
a69d1ec9-0cdc-4a7c-a2b3-40bcba54f687.jpeg

Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
 
View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Mind setter wa akina Yericko Nyerere the GREAT BETRAYOR of our lifetime

The CHIEF MANIPULATOR

The POLITICAL THUG MASTER.....

He is hoisting his true colors as FALSE ROCONCILIATIOR PRETENDER.

He has colors from innocent blood shed
 
Nilitaka kucheka sana, lakini dhamira ikanisuta.

Hawa ndio watu waliosababisha waTanzania kuuliwa kama mende Oktoba 29, 2025.

Mtu uliyewahi kuaminiwa/kuheshimika miongoni mwa jamii ya waTanzania, utapata wapi uthubutu wa kujionyesha katika hali ya namna hii bila aibu?

Mtei angefanya hivi?
 
Back
Top Bottom