Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Huyo kwenye vikao vya kamati kuu hatakiwi kusogea.CDM fukuzeni huyo jamaa kuweka kumbukumbu sawa,itasaidia kufuta historia yote aliyoweka chamani tofauti na mkimuacha hivi.
Huyo kwenye vikao vya kamati kuu hatakiwi kusogea.CDM fukuzeni huyo jamaa kuweka kumbukumbu sawa,itasaidia kufuta historia yote aliyoweka chamani tofauti na mkimuacha hivi.
Rufiji kwake ni karibu kuliko KisutuHuyu jamaa alituchelewesha sana kwenye harakati za ukombozi na ule ukamanda wake uchwara.
Pale kuna virunguKisutu pamekuwa mbali kidogo
Nakumbuka hapa jf ...nilipokuwa nawaambia wapumbavu wa chadema kuwa mbowe ni muhuni na muhalifu ...na kuwaambia kuwa kifo cha ben saa8 ni muhusika no 1 na niliwaambia hapa kuwa mbowe hataki kusikia hata jina la ben saa 8 walinitukana sana hapa ...sasa nimesibitisha uwezo wangu wa kuona na kupambanua ...kwa mauaji yaliyo tokea oct 29 ni upumbavu mkuu kabisa kwa mbowe kukubali kuonekana na ccm...niliwaambia kuwa mbowe ana akili finyu sana.View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Huyu mwacheni tu, Mungu atashughurika naye kwa wakati wake.View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Aibu utaona wewe, siyo shida zake.Imeenda hiyoooooooo 😂
CDM fukuzeni huyo jamaa kuweka kumbukumbu sawa,itasaidia kufuta historia yote aliyoweka chamani tofauti na mkimuacha hivi.
Huyu jamaa alituchelewesha sana kwenye harakati za ukombozi na ule ukamanda wake uchwara.
Fundi Mchundo zitto juniorMind setter wa akina Yericko Nyerere the GREAT BETRAYOR of our lifetime
The CHIEF MANIPULATOR
The POLITICAL THUG MASTER.....
He is hoisting his true colors as FALSE ROCONCILIATIOR PRETENDER.
He has colors from innocent blood shed
Hivi tatizo lipo wapi??????View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Atauwa morali ya vijana wengi sana kujitafakari upya kuhusu Siasa za Tanzania.Inatia shaka hasa kwa wale vijana na wanachama ambao walikua na itikadi na misimamo mikali walikua wanajichanganya sana kama walikua wanamshirikisha huyu mtu jamaa alikua anawauza kwa mafungu
Lakini kabla ya Uchaguzi huu uliomuondoa Madaraka Bwana Mbowe tukirudi kwenye Chaguzi za Nyumba kuna Baadhi ya Wananchi walikua wakijaribu kusema Mbowe aondoke Madaraka kwasababu amekaa miaka mingi kwenye Uongozi apishe Watu wapya waje na Mawazo mapya na wakadiriki kusema Kama Chadema ni Chama cha Demokrasia kwanini kiongozi mkuu ana ng'ang'ania Madaraka hataki kuachia kiti, Wanachamq wa Chadema wakawa wakari hawakutaka kusikia hayo Maneno ya kutaka Mbowe aachie Kiti, leo hii Waliokua Wana mtetea kioindi kile leo hii ndiyo wanamuona Mbowe hakua Kiongozi mwema lakini wakati huo Wananchi walikua wanataka Mabadiliko walionekana hawampendi Mbowe. KIongozi sahii anatakiwa akae kwenye Uongozi wa juu usidi vipindi viwili vya Uchaguzi, lakni Mbowe alikua hataki kuacha Uongozi zaidi ya miaka 15 bado hajachoka kuachia kitiMnafiki na mbinafsi sana Mbowe!
Tumbo na ubinafsi, Mbowe mpaka leo amekataa kuyakubali matokeoa ya uchaguzi wa kidemokrasia, huku miaka yote ameishi akihubiri Demokrasia na Chadema kirefu chake ni Demokrasia na Maendeleo.Hivi tatizo lipo wapi??????
Yani Mkuu kwa Serikali hii ilivyo waua Wananchi Kiongozi unasubutu kujumuika pamoja na Wauji waliua Wanachama wako na Vijana wa Chama.Inatia shaka hasa kwa wale vijana na wanachama ambao walikua na itikadi na misimamo mikali walikua wanajichanganya sana kama walikua wanamshirikisha huyu mtu jamaa alikua anawauza kwa mafungu