Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

Tumbo na ubinafsi, Mbowe mpaka leo amekataa kuyakubali matokeoa ya uchaguzi wa kidemokrasia, huku miaka yote ameishi akihubiri Demokrasia na Chadema kirefu chake ni Demokrasia na Maendeleo.
Mkuu Mbowe aligeuza ofisi za Chama kama Biashara yake ìnayo muingizia Kipata na alikua hapati Asala sasa aliyoondolewa tu mambo yote yakaenda kombo, alishazoea kuishi kifalme kupitia Chadema na sasa hivi hawezi tena kusafiri hovyo hovyo kweda Ulaya na Marekani
 
Atauwa morali ya vijana wengi sana kujitafakari upya kuhusu Siasa za Tanzania.
Yah kweli Siasa za Tanzania inabidi zisibiri kizazi cha Wakina Mbowe kiondoke Duniani, yani Wanafanya Siasa za Uongo na za kitapeli hakuna tofauti na wale Matapeli wa mchezo wa karata 3 ukienda wanapocheza mchezo wa karata tatu utaona Mama anakuja anacheza ana shinda pesa lakini ukojaribu kucheza wewe unaliwa pesa yako, ukija kuchunguza kwa umakini utakuja kugundua wanao cheza na kula pesa ni wenzao na wanaochezesha huo Mchezo, Mbowe alikua na kikundi chake ambacho kimehamia Chaumma baada ya kuona Chama hakitashiriki Uchaguzi wakaamua wakimbie kwasababu mtu wao aliyekua anawapa chakula kafukuzwa jikoni.
 
Nimeumia sana mangi miyeyusho aisee
Ndiyo maana mimi kwenye awamu ya Magufuli nilikua na mtetea Magufuli alivyo wafunga jela, inaoneka kwenye awamu ya Magufuli huyu Mbowe alikua Upande wa wahuni inaonekana aliungana na Wakina Kinana, Nape, January, Mzee Makamba kumpelekea Moto Magufuli, ni ajabu kupinga Bwawa la Umeme kwenye awamu ya Magufuli na kulikubali awamu hii ambayo imeua watu imearibu nchi kuliko awamu iliyopita.
 
Ndiyo maana mimi kwenye awamu ya Magufuli nilikua na mtetea Magufuli alivyo wafunga jela, inaoneka kwenye awamu ya Magufuli huyu Mbowe alikua Upande wa wahuni inaonekana aliungana na Wakina Kinana, Nape, January, Mzee Makamba kumpelekea Moto Magufuli, ni ajabu kupinga Bwawa la Umeme kwenye awamu ya Magufuli na kulikubali awamu hii ambayo imeua watu imearibu nchi kuliko awamu iliyopita.
Kweli mbowe alikuwa project ya wana mtandao hakika
 
While ni suala la kimaendeleo sio siasa na tunaheshimu maamuzi yake ya kidemokrasia lakini amefanya kosa kubwa la kimkakati. Yaani siku moja baada ya Lissu kupewa kesi ya kujibu alafu anaonekana akiwa na watesi wa Lissu inatoa picha mbaya sana kwa wanamageuzi.

Mbowe is a sellout, period.
 
View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
We mpumbavu kwanza upambane na huo udumavu wa lishe wa huko kwenu Njombe, we umedumaa akili! Unajua kwanini anaitwa Freeman? Huyo babake Aikaeli Mbowe ndiyo waliomchangia baba wa Taifa kwenda Newyork kudai uhuru wa nchi yetu, huyo ni mzalendo wa kweli alistahili kuwa waziri mkuu ila kuna kosa alifanya. Na inawezekana ni TISS, hao wana viapo vya ukweli! Na atarudi kuwa mtu mkubwa!
 
Mna hangaika tu. Mbowe anaishi maisha yake anavyotaka mwenyewe na nyie nanyi ishini maisha yenu. Ku vent humu hakusaidii kitu maana hata akisoma atapuuza.
Mbowe hadaiwi kitu na mtu wala chama. Hivyo kumuita traitor, msaliti hakumpunguzii kitu. Matusi hayo yalikuwa effective wakati wa uchaguzi lakini baada yake hayana effect yeyote.

Muacheni aendelee na maisha yake. Acheze na watoto na wajukuu wake. A chill na rafiki zake na aendeleze biashara zake.

Alichofanya kinatosha mno. Huu ni wakati wa wengine kuendeleza mpambano na kusahihisha pale wanapoona alikosea.

Amandla...
 
Back
Top Bottom