Mna hangaika tu. Mbowe anaishi maisha yake anavyotaka mwenyewe na nyie nanyi ishini maisha yenu. Ku vent humu hakusaidii kitu maana hata akisoma atapuuza.
Mbowe hadaiwi kitu na mtu wala chama. Hivyo kumuita traitor, msaliti hakumpunguzii kitu. Matusi hayo yalikuwa effective wakati wa uchaguzi lakini baada yake hayana effect yeyote.
Muacheni aendelee na maisha yake. Acheze na watoto na wajukuu wake. A chill na rafiki zake na aendeleze biashara zake.
Alichofanya kinatosha mno. Huu ni wakati wa wengine kuendeleza mpambano na kusahihisha pale wanapoona alikosea.
Amandla...