King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
"
Muheshimiwa mwenyekiti wetu NTU WA DILI ,kachukua ushuru kwenye chombo ya kanali afu 20 kuniziba mie n' domo kanipa afu tatu ,kataaa brazaa kataaaa!!View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.